Mjadala huru kuhusu Afrika ilipotoka, ilipo na inapoelekea

wailer hov

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
286
Reaction score
409
Ndugu Wanajamii habari, karibuni sana kwenye mdahalo unaohusu historia ya Afrika ilipotoka, Ilipo na Inapoelekea.

Mahali: Mbezi Beach, Daniel Chongolo Street, mkabala na Shule ya Msingi Daniel Chongolo
Siku: Jumapili 05/03/2023
Muda: Saa nane mchana
Chakula: Kitakuwepo kwa watakaowahi
Kiingilio: Bure, kwa Mtanzania na mzaliwa wa Afrika.
Mgeni(Foreigner) atalipia Shilingi 10,000/=

Karibuni sana wanaJamii.

 
kwa sisi wa mikoani jeee, si mtupe nondo humu gumu kwenye forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…