MJADALA HURU

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Klabu ya Yanga bado inatumia picha ya Fiston Mayele kwenye cover ya ukurasa wao wa mtandao wa kijamii wa Facebook ilihali nyota ni mchezaji wa Pyramids.

Hii imekaaje kitaalamu, ni sawa au sio sawa??
 
Yanga walimpenda sana Mayele kuleko mchezaji yoyote kuwahi kutoka KLABUNI KWAO.


1. Huwa hawapendi kuwauza au kuwatoa wachezaji wao wanapotakiwa na VILABU vyenye malisho Bora zaidi.

2. Huko WENYE akili ni wawili tu.
Wengine wote vilaza WAKUBWA.
 
Yanga wanaangalia KUJENGA TIMU na kuangalia jinsi gani timu ZOTE zitaonja goli 5. Marekebisho ya Facebook SIO KIPAUMBELE KWA SASA…!!

Asante kwa KUTUFUATILIA…!!! Hyo ndo maana halisi ya kuwa klabu kubwa…! Utafuatiliwa tu, japo kimyakimya…!!!
 
Aaahaaaa,eti Asante Kwa kutufuatilia
 
Mbona pale Utopolo Wote ni VILAZA kuanzia Viongozi hadi Mashabiki ISIPOKUWA Wawili tu...!

Hayo Sio Maneno Yangu.....Ni Maneno ya Mzungu Pori...! Mi ni Mjumbe tu nayanukuu maneno ya Mzungu Pori...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…