MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Cases za namna hiyo ni chache sana, hata kibaiolojia ni wanawake wenye mizunguko mifupi na wenye undefined mp tu ndio huweza kunasa kama wakifanya kipindi cha mp.

Kama una mzunguko kuanzia 26-32days na ipo haubadiliki it's almost impossible kunasa mimba coz mbegu za kiume zinakuwa hai for 3-5days after intercourse.

Doctor aje aseme kitabibu.
 
Mi kuna manzi nilimgonga, kumbe alikuwa kwenye hedhi, ss cha kushangaza kuna harufu Kali nikawa naisikia, pozi taratibu ikaondoka na mzuka ukaanza kushuka, bac manzi akanishtukia akawa ananiuliza unaisikia hiyo harufu?

(huku amelegea akiwa ananiuliza), hedhi hiyo mpnz usijali. Heh!!! Nikakochomoa dude langu kwa kuhamaki huku namuangalia usoni, kwa ufala wake (sorry ladies, it's not my intention to say this) anataka niendelee na game huku akiwa amemind.

Nikamuacha kama alivyo, na akaanza kunichunia from that day, yaani namuona mwendawazimu mpk mida hii. Hiyo ni from back to 2012

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kilaza kweli yaani hujui kuwa ile damu ni mchanganyiko wa mayai yaliyoharibika

Sent from iphone 7 plus
 
Mambo mengine hata kuyawaza tuuu ni kosa.... Huko ni kokosa staha....
 
Na kwa nini ufanye mapenzi siku ukiwa period jamaan Mungu ana maksudi yake jamaan katika siku 30 kupumzika siku 3 au 5
Tatizo unajua uko period afu unakunywa bia za mtu, unamwomba hela ya saloon mtu, unaitwa kutolewa out Kempisk unabeba na ped zako, sasa hapo mtaishia kutuona wanaume wabaya
 
Na kwa nini ufanye mapenzi siku ukiwa period jamaan Mungu ana maksudi yake jamaan katika siku 30 kupumzika siku 3 au 5
Hata mimi huwa sielewi, ndio genye mshindo au!!!!!
 
Kuna baadhi ya wanawake akiwa kwenye hedhi, ashiki/nye,.ge zinaongezeka mara dufu na hata ukikataa atakulazimisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…