MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Huyo mama kakudanganya! Au ukute hata yeye mtu mzima eti hajui siku zake za hatari[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Haya mambo japo wanaweka kanuni ila naamini siku ya mimba hautabiriki. Kwa mwenye mzunguko wa siku 28 tarehe za mimba ni kuanzia siku ya 11-18 (hizi ndo siku za hatari) ila sikpu ya mimba nzuri ni siku ya 14 (kwa mujibu wa kalenda za wataalamu, wao wanaita siku ya 14 ) ila kuna maelezo pia nilisha yasomo sehemu yanaonesha mwanamke anaweza kuwa period wakati yai jingine likiwa tayari ivo siku ya period aki sex kuna uwezekano wa mimba.

Inawezekana yeye ni miungoni mwa wachache ambao siku za hedhi tayar yai jingine linakuwa lisha pevuka
 
Hawezi
 
Kuna madhara gani yanayotokea pale mwanaume anaposex na mwanamke wakati yupo period?
 
PUNGUZA TAMAA MKUU MWENZIO YUKO KWENYE SIKU ZAKE HUWEZI JAPO KUSUBIRI KWA SIKU KADHAA?

KWA HILI NAWEZA SEMA UNAWEZA HATA KUBAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…