Duuuh kwel.......... Ss hapa tvs vs boxerChukua Tvs. Spea zake zinadumu sana japo bei ziko juu kidogo, pia ununuaji wa spea unategemea na handling yako. Na umakini katika services ndogo ndogo km oil, plugs nk. Ukipuuza service ndogo ndogo lazima ugharimike sana spea.
Ni mwaka wa 4 natumia Tvs Hlx 125. Nimeshatembea km 67000. Ila Spea nilizokwisha badili mpaka sasa ni tairi ya nyuma, sprockets na mnyororo, clutch cable na plugs.
Nakushauri chukua tvs. Ukiijali hata ishu za spea sio deal kivile.
Duuuh kwel.......... Ss hapa tvs vs boxerChukua Tvs. Spea zake zinadumu sana japo bei ziko juu kidogo, pia ununuaji wa spea unategemea na handling yako. Na umakini katika services ndogo ndogo km oil, plugs nk. Ukipuuza service ndogo ndogo lazima ugharimike sana spea.
Ni mwaka wa 4 natumia Tvs Hlx 125. Nimeshatembea km 67000. Ila Spea nilizokwisha badili mpaka sasa ni tairi ya nyuma, sprockets na mnyororo, clutch cable na plugs.
Nakushauri chukua tvs. Ukiijali hata ishu za spea sio deal kivile.
Bei yake bora niongezee nichukue ndinga kabxaaa...... HahaaChukua XL Honda,Kitu mjapani hutojutia kamwe...
Bei yake bora niongezee nichukue ndinga kabxaaa...... Hahaa
So ni bora kuliko boxer?Natumia TVS 150 kwa mwaka mzima sasa, hakuna kitu nilichobadilisha zaidi ya mfuniko( koki) ya oil iliyovunjwa na fundi asiyejielewa. Nimetembea 21000km Hadi sasa.Naenda kwenye mihangaiko yangu ambayo ni 30km. Kwenda na kurudi naweka 1 lita . Ila nilichogundua matumizi ya mafuta yanategemeana na speed. Kwa mfano nikiweka hiyo Lita 1 nikatembea speed ya 80 -100 , hiyo Lita sitafika nyumbani siku hiyo. Ila ukitembea 60-70 mafuta yanabaki kibao
Kabisa![emoji3][emoji3] ila ndo pikipiki ya kibabe.
Duuh... Inahamasishaaa aisee...... Wanasema boxer miliman inachoka haraka..... Kwel!??Ila Nina jamaa zangu wanatumia TVS 125. Wao mafuta ndo hatari. Ni Kama inanusa tu. Ila Kama safari zako ni za milimani Kama Mimi TVS 150 ndo habari ya huko milimani. Unaweza panda mlima umepakia mshikaki na speed ya 70 Hapo upo namba 4 bila wasiwasi
Kikubwa hapo ni taste yako tu, but zote ziko poaDuuuh kwel.......... Ss hapa tvs vs boxer
Matumizi yako tu, mm naishi miliman na nna boxer niliyonunua mwaka 2015 namba A but still napiga nayo kazi. ila sio bodaboda...Duuh... Inahamasishaaa aisee...... Wanasema boxer miliman inachoka haraka..... Kwel!??
Yaani Hapo kwenye milima TVS inatembea. Kiufupi nikiwa kwenye mishe zangu hakuna sehemu nakwama. Ila inahitaji uangalifu zinatembea sanaDuuh... Inahamasishaaa aisee...... Wanasema boxer miliman inachoka haraka..... Kwel!??
Honda click au verion unazijua?1. Tvs kwenda km 60 kwa lita ni sahihi kabisa na inaweza fika 70km, it's 125 cc compared to boxer hizi za siku hizi.
2. Tvs haina tofauti sana na boxer kwa sifa ambazo nilizitaja huko juu kuanzia starehe, kutokuwa na vibration, uimara wa spare nk (zote mtengenezaji ni mhindi). Tofauti iliyopo kati ya pkpk hizi ni muonekano na speed. Boxer inachanganya kwa haraka sana na speed ya kutosha nafikiri unajua kuwa ndio mana zilikuwa zinatumika sana na wahalifu....nafikiri mpaka sasa hata vijana wanaopora mabegi na simu za watu huwa wanatumia boxer mara nyingi😀
3. Haojue is good ila kama ni kwa biashara, lkn kama ni matumizi binafsi sikushauri sana(hapa ni kwa ajili ya status)
4. Honda ace: huu ni mziki mwingine kabisa, sina uzoefu kwa matoleo yaliyopita lakin mimi natumia honda ace125 toleo la 2017 ya kazini, ni tamu sana kuanzia ustarehe, uimara, mafuta kiduchu nk. Hizi zinatengenezwa na mjapani lakini mchina pia naye amegonga copy zake ambazo huwezi tofautisha na ya mjapan, zipo kwa kiwango kilekile kinachofanana na za japani, nasema hivyo kwasababu nnayotumia ni ya mchina na nmetumia mwaka mmoja bila kugundua kama ni ya mchina mpaka baada ya kupitia manual yake vizuri lakin still iko vizuri haijawahi kubadilishwa spare ya aina yoyote ile zaidi ya kumwaga oil tu
Hapana kiongozi hizo sina uzoefu nazo!Honda click au verion unazijua?
Hazina mnyororo na ni autoHapana kiongozi hizo sina uzoefu nazo!
Mmmmh..... Cc ngap hyo!? Ya mwaka ganiHazina mnyororo na ni autoView attachment 1123367
Nimekuelewa.Pikipiki ni toyo au king lion sema hizi zipo sana kaskazin