MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

WEKK SAID BRO, na mimi humu kwa kweli nakusanya maoni ya watu wanaotoa ili nifanya maamuzi yangu..maana kila mtu anasema kwa experience yake but utaona tu zilizotajwa tu zote zinafaa.....
 
Umechoka na maisha? 😳

Sasa hivi zipo za kutosha
 
Haojue is the option kama unataka na baadae ufanyie biashara, ila kwa boxer kama unataka kutumia mwenyewe na uje kufanyia biashara sikushauri kwani zinawahi kuchoka na spare zake ni ghali
HAOUJUE NA TVS ipi itafaa kwa matumizi binafsi
 
kwa nini Haojue ni nzuri kwa biashara maana ninawaza niichukue kwa matumizi binafsi
Hata ukitaka kwa matumizi binafsi hiyo ni wewe tu.
Hizi ni kati ya pkpk imara za mchina na bado hazijachakachuliwa sana na wajanja. Kama sanlg zilivyoingia zilikuwa imara sana lkn wajanja wakaanza kuchakachua sahv zinauzwa kwa sababu ya jina tu
 
sawa mdau
 
Hv ni vizuri kama huna mambo mengi, yan vipo simple kama muonekano wake ulivyo.
Ni kwa matumizi ya kawaida tu hasa kwa trip za mjini na sio shuruba za aina yoyote.
Mimi huwa naenda sana maeneo ya dunga to zanzibar town..

Nadhani kitanifaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…