MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

TVS Jamani mnajua bei ya vifaa vyake?

Ngoja niwaweke sawa ndugu zangu. Mie simpotezi mtoa Mada. Ila nampa ushauri mzuri sana. Sio lazima anunue bike ya mil 18, au mil 10.. Zipo bike mpk mil 4.. Na ni same type na specs tofaut ni imetumika muda gani na year of prod.


Nunua pikipiki hyo ya mil 2.. Utumie mwaka mmoja uje kuuza laki 9!

Pili.,Utaingia cost zisizo na maana.. Jiandae kununua spocket kila mara.. Chain drive.. Jiandae kubadir front/rear suspension kila mara..

Jiandae kukosa uhuru njiani.. Ipo wazi ukiendesh Boxer au TVS kila mtu anakuona bodaboda tu ndo hapo rafu za maksudi zinatawala.. Ukiwa na kx! Au crf kwanza mwenye crown anakupisha upite..

Pili kiuhalisia.. Hata usumbufu wa wale Tigo haukupati.. Unaingia popote mjini.. Advantage hzo! Kingine cha mwisho hz bike unaweza nunua mil 5 ukaja kuuza mil 7.. Ila tvs unanunua mil 2.5 unakuj kuuza lak 9.

Bike yangu ina mwaka saiv nabadili oil tu.... Basi.. Uliza wamilik wa Boxer au TVS maintanance cost thou ni cheap spare parts ila hazidumu.. Humaliz mwezi unafungua hiki unafunga kile.. Ukija kupga mahesabu umetumia hela nyng..

Faida ya hzo Tvs na boxer unaweza ukawa unapakia abiria njiani kufidia mafuta.. Kujipatia kipato ukiwa free!

Mwisho.. <Cheap is expensive!>

shortcut always is a longcut
 
Niliwahi enda ulizia Honda XLR 250 nikaambiwa 10mil nikakimbia....
Hivi Honda Clik bei gani?
 
Click.. Sijajua bei gani zile bike za kibishoo nzuri sana kwa mizunguko ya mjini hata nje ya mji nikimaanisha ukitaka kufanya cruise tour..na bei yake yamoto.. Sikumbuki bei halisi..
 
mmh! naiona rangi ya kiduku lilo hapa.

tuelewe kwanza kusudio la mleta mada kuitaja 2.5m.
 
weka picha ya hilo dude. usikute ni kama lile lilomuangusha p. mayala.

kwenye nyuzi za pikipiki angalau natupia abc maana ngazi za gari sizijui. najitenga na wengi wa jf maana 95/% wote wanatembelea miguu 4.

unavyolisimulia hilo DUDE napata mzuka kuliungurumisha, japo cc 250 sio za kitoto kwa sisi tuliozoea 'majeneza' ya mchina na mhindi.
 
Thanks mkuu Ila hiyo midude mkuu mpaka uwe umejipanga kweli.
 
Jamaa umemtajia mwenzio mikipiki kama vile anataka za mashindano

yani mi baja ya juu juu imekaa kukimbizana kimbizana tuu kama watu wa mereran

Mkuu we kama hutaki makuuu vuta TVS yako uchune kimyaaaa...
Ahsante mkuu afu kuna TVS HLX 150 na boxer bajaji bm 150 yenye Gia tano so ipi inahimili changamoto za barabara.
 
Ahsante mkuu afu kuna TVS HLX 150 na boxer bajaji bm 150 yenye Gia tano so ipi inahimili changamoto za barabara.
ki ukweli sina uzoefu na hizo piki piki ila nawaulizaga sana madereva (boda boda) tofauti yao ni ipi na ipi ni Bora

ila kinachotokeaga Nikimuuuliza dereva wa Boxer anatetea piki piki yake anaipondea TVS

nikija muuliza dereva wa TVS nae anatetea piki piki yake anaipondea boxer

so nakua hapo kati kati sielewi,kwakua naulizaga tu ili nijue huwa sihangaiki saaaana

ila kama unataka Majibu sahihi nenda kwenye kijiwe wanachotengeneza piki piki then mvute fundi muulize

huyo atakupa majibu kiutaalamu na kiuzoefu wake,ila ukijichanganya ukafanya kama mimi Hautoelewa kitu.
 
ki ukweli sina uzoefu na hizo piki piki ila nawaulizaga sana madereva (boda boda) tofauti yao ni ipi na ipi ni Bora

ila kinachotokeaga Nikimuuuliza dereva wa Boxer anatetea piki piki yake anaipondea TVS...
Yaah hapa mkuu nimekusoma Sana madaktari wa hizi pikipiki ndio atakupa jibu Zuri zaidi. Ahsante Sana mkuu kwa ushauri murwa
 

Duh!! Mkuu mtu amefika mil 11 hutaki, ila jamaa unamwambia akutafutie milioni 10 umpe.

Akili za usingizini ndio zinanisumbua.
 
Hapa sasa ndio umelonga mwanawane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…