Kwa wasukuma ShinyangaWatumiaji wa baiskeli tukutane wapi
Kumekuwa na makampuni mbalimbali yanayofanya biashara ya kuuza pikipiki. Baada ya kutumia pikipiki aina ya T better kwa muda mrefu nimeona ni bora sasa ninunue Boxer.
Naomba nijue faida na changamoto ya hizi pikipiki. Na kama kuna anayeuza njoo inbox tuyajenge.
unaishi wapi na matumizi yako ya pikipiki ni yapi?
Inategemea na matumizi yako. Kama ni matumizi binafsi labda Boxer iwe 150cc na sio ile ya 100cc.Kumekuwa na makampuni mbalimbali yanayofanya biashara ya kuuza pikipiki. Baada ya kutumia pikipiki aina ya T better kwa muda mrefu nimeona ni bora sasa ninunue Boxer.
Naomba nijue faida na changamoto ya hizi pikipiki. Na kama kuna anayeuza njoo inbox tuyajenge.
Nipo Muheza matumizi yangu ni kutembelea tu, na kunipeleka kazini tuunaishi wapi na matumizi yako ya pikipiki ni yapi?
Nipo Muheza matumizi yangu ni kutembelea tu, na kunipeleka kazini tu
Kabisa yaaniPikipiki milioni 10 si bora achukue hata ka starlet.
kuna pikipiki za mchina zinitwa haojue 125-8 hizi pikipiki ni nzuri sana kwa kustahilimil hayo mazingira na unatumia mafuta kidogo sana yangui ina mwaka na nusu saiv ila bado wembe
ππππ au Yamaha zile wanatumia maasifa watendjTena juna zile wanaziita mayai muonekano mzuri mafuta kidogo rahisi huihudumia sasa ngoja akanunue kawasaki [emoji38][emoji38][emoji38]
Acha uongo we jamaa mm nilinunua tvs mwaka Jana mwezi February na mpaka sasa nabadili oil tu na sijwahi weka kifaa chochote kile hayo sijui unayoyaongelea kama upo rafu litaharibika tu.kwahyo chombo chochote kile ni matunzo tu kinadumu Mimi namshauri mtoa mada achukue TVs ni imara sana kwakweliTvs.. Jamani mnajua bei ya vifaa vyake?
Ngoja niwaweke sawa ndugu zangu.. Mie simpotezi mtoa Mada.. Ila nampa ushauri mzuri sana.. Sio lazima anunue bike ya mil 18,au mil 10.. Zipo bike mpk mil 4.. Na ni same type na specs tofaut ni imetumika muda gani na year of prod...
sio kwa ile vibrations mkuuTOYO
Pikipiki milioni 10 si bora achukue hata ka starlet.
Mtu amekuambia ana bajeti ya 2.5 we unaanza mapambioUngekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7 ningekupa mashine yangu 2017 Kx250 ingekufaa
Sikia achana na fekon, sanlg, boxer na takataka zingne kama hizo utakuja kufa. Hazichelewi kupata miss. Au kuchomoka front shock's
Jichange chukua hizi mashine...
Mkuu nakuja PM tafadhali..bei rahisi kama utanunua utumie kule kule,ila ukisema ununue ulete Huku bara "bila ujanja janja" umeumia/utajuta