MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

boxer then tvs then honlg(hizi nimeziona moshi tu wanabebea mirungi) toyo kisha upuuzi mwngine unaofuata ila cha kukushauri ni kwamba boxer na tvs spare zake ni ghali sana kama ni ya kazi ngumu bora uchukue honlg

Ushauri zaidi kuhusu hiyo honlg nataka nichukue ile honlg seven cc 150, kama unaielewa vzuri tafadhar sana nielekeze,
 
Maduka yapo wapi kwa hapa Dar
 
Kama itakuwa kwa matumizi ya nyumbani peke yake chukua HONDA CB 1100 EX. Hii haifai kwa biashara
 
Bei yake Sh ngapi ?
Used ya Honda CB 400 unaweza kupata kuanzia million 7 ila CB 250 hata million 5 unapata matoleo ya 2004 kushuka chini ambazo zilikuwa zina mfumo wa Carburetor.

Hizo bike ni kama gari maana zina 4 cylinder na ni liquid cooled (rejeta ya kupozea injini.

Dar Kuna moja dogo wa Kihindi ana CB 400 nadhani imefungwa Arkapovic Exhaust maana usiku akiwa anatoka Kariakoo, Magomeni lazima usikie engine roaming na huwa anapiga route mpaka Mbezi Africana.

CB400 Iko vizuri sana na Ina nguvu Sana. Mwaka huu nimekutana nazo mbili mpya moja Posta na nyingine Tazara pale Renault Truck.
 
Samahanini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenzenu nina miaka 24, elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta boss anokabidhi gar kwa ajiri ya biashara ya uber/bolt
Namba yangu ni hii
0693010116
 
Inategemea na location
 
Mkuu njo inbox kidogo tupeane uzoefu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…