Mjadala: Je, Tuzo ya Mashabiki tuliyopata Wanachama wa Simba ina maana gani?

Endelea sasa kujadili hayo mafanikio ya tija kwa Uto, mijadala ya tuzo za Simba waachie wanasimba wenyewe
 
Wacha uongo siyo tuzo ya Simba!

Hebu tuoneshe wapi imeandikwa Simba Fans!

Try Again apeleke hiyo tuzo TFF ni mali ya wapenzi wote wa soka Tanzania!
 
Hivi kweli kuna mtu anaamini mashabiki wa simba ni bora kuzidi mashabiki wa Raja, Wydad, Ahly? seriously?
Al Ahyl mashabiki wana vurugu that's why hawapewi ticket zote wakati wydad mashabiki pia wana vurugu waliwapiga mamelod na chupa za maji huku waliwasha moto hapo washakosa kigezo cha kuwa bora kwakuwa kulikuwa na viashiria vya vurugu
Shida wabongo wengi wanajua tuzo ya mashabiki bora ni kuimba tu wakati wanasahu pamoja na kutoleta vurugu kwa hakika Simba inastahili kwakuwa walikuwa na ustarabu wa juu bila ya kujali matokeo
 
Kila mashabiki wamepata tuzo yao wanalunyasi (nguvu moja) wamepata tuzo ya AFL huku wananchi (nyuma mwiko) wamepata tuzo ya supu supu na chapati za mama bonge
 
Wacha uongo siyo tuzo ya Simba!

Hebu tuoneshe wapi imeandikwa Simba Fans!

Try Again apeleke hiyo tuzo TFF ni mali ya wapenzi wote wa soka Tanzania!
Iko sawa hii mkuu.....watu wote tulishiriki[emoji1]
 
Sahihi kiongozi
 
Kila mashabiki wamepata tuzo yao wanalunyasi (nguvu moja) wamepata tuzo ya AFL huku wananchi (nyuma mwiko) wamepata tuzo ya supu supu na chapati za mama bonge
Kijana ...Au nitumie picha Yako .....ulivyokuwa unagombania supu pale jangwani [emoji23][emoji23]
 
Hongera zenu Kwa kupata tuzo ya kijinga Sana tena ktk mechi moja tu

Hii inawakumbusha kwamba mnacho kikosi Bora cha kushangilia kuliko kikosi cha kushinda Mechi.
 
Hongera zenu Kwa kupata tuzo ya kijinga Sana tena ktk mechi moja tu

Hii inawakumbusha kwamba mnacho kikosi Bora cha kushangilia kuliko kikosi cha kushinda Mechi.
Na hili likifanyiwa kazi ....kama kutakuwa na usawa kati ya hivi 2 simba itakuwa ni giant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…