Mjadala: Je, Tuzo ya Mashabiki tuliyopata Wanachama wa Simba ina maana gani?

Na hili likifanyiwa kazi ....kama kutakuwa na usawa kati ya hivi 2 simba itakuwa ni giant
Sasa huo usawa utapatikana vipi Kwa huu mtifuano unaoendelea Kati Yao wenyewe?

Hawa Wana mda mrefu Sana wa kuelewana, Sisi kazi yetu NI kuchochea kuni tu Hali iwe mbaya zaidi
 
Kwamba tuishikilie Ile principal ya divide and rule [emoji23][emoji23]
 
Na huo ndio utaratibu Bora zaidi kutumia ili kumuangamiza mpinzani wako
Kuna shabiki aliitambua hii akawa analalamika kuwa Kila ikifika mechi ya 8 Simba inapigwa kichomi..[emoji1]
 
Hamna kichomi Bob, Simba ni mbovu ktk mechi zoote ilizocheza msimu, Sisi watu wa figisu tunajazia tu

Na tutaendelea kuwavuruga Sana. Ubovu wao + figisu zetu Hali itakuwa mbaya Zaidi
 
Hahahaha kwahiyo, unataka Try again aikabidhi kwa mashabiki au kiongozi wa mashabiki
 
Hamna kichomi Bob, Simba ni mbovu ktk mechi zoote ilizocheza msimu, Sisi watu wa figisu tunajazia tu

Na tutaendelea kuwavuruga Sana. Ubovu wao + figisu zetu Hali itakuwa mbaya Zaidi
Mtauwa mashabiki mkuu
 
Ile tuzo wamewapa kama kutusanifu kutuona wajinga.yaani tuzo apewe dunduka halafu maudhui ya tuzo yanatangazia utalii wa nchi ya Rwanda. Maandishi makuubwa tembelea Rwanda .
Sijui tutaamka lini sisi watanzania.
 
Hili nalo tulitazame [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…