Mjadala : Je Zidane anatosha kwenye benchi la ufundi la Manchester United ?

Zidane sio kocha mzuri hata kidogo.wala hawezi kufikiriwa kabisa na man u.Yeye anatembelea nyota za wachezaji tu ila kufundisha hajui.pale labda kocha anayejua kufundisha mpira.over.
 
Zidane hataiweza timu
Kule Madrid alikuta timu nzuri na wakawa wana spirit nzuri
 
Hata Jadin yuko vizuri sana ukiona kikosi cha Monaco kinavyopiga kazi unapata picha Moja kuwa kiko chini ya kocha mzuri sana
Misimu miwili iliyopita walikuwa vizuri mno kuanzia uefa hadi ligi na Moira wao ulikuwa mzuri mkuu ila msimu huh mpaka sasa wanakamata nafasi ya 18 hawafungi goli zaidi ya 2 kwa mechi na uefa hawajashinda hata game wamefunga goli 1 na kufungwa 5
 
Zidane anakuja kuchafua jina lake.
 
Misimu miwili iliyopita walikuwa vizuri mno kuanzia uefa hadi ligi na Moira wao ulikuwa mzuri mkuu ila msimu huh mpaka sasa wanakamata nafasi ya 18 hawafungi goli zaidi ya 2 kwa mechi na uefa hawajashinda hata game wamefunga goli 1 na kufungwa 5
Kikosi chao kimeondokewa na wachezaji sita muhimu lazima hii downfall iwepo na hawajafanya replacement
 
Wasijaribu kumfukuza José.. yaani Zidane ni kocha mwenye mpango ya taratibu mno.. tatizo palé ni pogba na ugomvi wake na José!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…