Mjadala Kama wa Kitaalamu lakini hauna Utaalamu

Mjadala Kama wa Kitaalamu lakini hauna Utaalamu

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,743
Reaction score
13,657
Ukisikiliza hoja hapa unaweza ukachoka mwenyewe

Yaan hoja hapa ni "wastani" na uhalali wale wa kutumika kwenye data zote (generalisation)

Maana yake uchukue wastani wa JUMLA iliyogawanya kwa idadi ya items kadhaa halafu huo wastani unautaja kwa kila item inahitaji akili za kihisabati tu kutafsiri hiyo (quantitative Vs qualitative) data

Nadhani 'Rule of thumb to central tendency' inahitajika uitumie sawa sawa hapa

Ingawa na kasiasa kapo nyuma yake lakini mzee mamba anapambana haswa
 
Back
Top Bottom