Mjadala kipi kinauma zaidi kati ya kufiwa na kukosa hela

Mjadala kipi kinauma zaidi kati ya kufiwa na kukosa hela

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Yap machungu yako kati ya vitu viwili vifuatavyo yaan kufiwa na kukosa hela

Kitu gan huwa kinauma sana kama endapo utafiwa na mpendwa wako au kama itatokea huna hata mia mfukon yaan huna chapa yaan huna hela hata kama ukikanyaga nyanya za watu sokon itabidi ukafungwe yaan upelekwe jela

Hebu tupe machungu yako kipi bora kati ya kukosa hela au kufiwa na mpendwa wako utaumia zaid kwa lipi mkuu?

Je utaumia zaid endapo utafiwa na mpendwa wako? Au utaumia zaid endapo utakosa hela


LONDON BOY
 
Kukosa hela ukifiwa utasahau maisha yanaenda ila kukosa hela huwezi kusahau
 
Vitu ulivyofananisha bhn ila Pesa inatafutwa tu mkuu
 
Beira uliwahi kusema meneja wako ni SHIROLE kama sikosei, ukiwa na meneja kichwa maji we kichwa yako itakuwa imejaa tope! Najua bado unakua mdogo wangu ila mada zako hazikui kila siku zinarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom