Habari wanajamvi?natumai wote niwazima.
kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini.
pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba binadamu wamemuumba MUNGU,hii inatokana binadamu kushindwa kujua mwanzo wake nawaka amua kusema yupo mwenye nguvu aliye tuumba.
pia wapo wanao amini kwamba aliye tuumba yupo ila sio huyu anaye tajwa kwenye vitabu wala simulizi zakale,yeye mwenye nguvu muumbaji yupo baada ya kuumba ulimwengu na sheria zake(kanuni) na viumbe hana mpango navyo kwa maana ulimwengu unajiendesha wenye automatic.
Swali,je Mungu amemuumba mwana damu au mwanadamu amemuumba Mungu baada ya kushindwa kujua mwanzo na hatima yake baada ya kufa? Naomba kuwasilisha.