Mgeni mwingine alikuwa ni Juma Mhina ,mkereketwa wa Chama cha Mafisadi.Nimemsikia Juma Mhina katika mjadala huo akijionyesha jinsi gani yeye mwenyewe ni mwendawazimu.Anasema eti hakuna haja ya kuwa na katiba mpya na eti hoja ya katiba mpya wanaoitetea ni watu walosoma lakini wanakijiji na watu ambao sio wasomi hawahitaji hiyo katiba mpya eti wao wanahitaji kitatuliwa kero nyingine kama maji n.k.Yeye anasema katiba iliyopo inafaa kwa asilimia kama 90 hivyo hakuna haja ya kuandika katiba mpya kwani katiba mpya itakuwa na gharama na fujo nyingi kiasi kwamba wananchi hawatajihusisha na kazi za maendeleo.Mnyika katetea hoja zake kama kawaida kwamba katiba mpya iundwe lakini si kama Jk alivyo eleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.