Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Hongera mkuu.Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.
Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya kueleweka(mimi wakati huo nilikuwa team leader wa Halotel pale bagamoyo). Ki ukweli niliathirika kisaikolijia kwa muda fulani.
Nilifanikiwa kupata kazi nzuri kwenye asasi moja ya kiraia inayolipa vizuri na baada ya miezi 6 nilirudi likizo nyumbani, aliyekuwa mama mkwe mtarajiwa habari ikamfikia kuwa nimepata kazi ya kueleweka, akaanza kunishobokea mara "ooh Njoo nikupe mdogo wake recho amamemaliza shule" nikamjibu "nilimpenda recho na siyo mdogo wake, ukamuozesha kwa mwenye kazi nzuri", aliendelea kumshawishi mama yangu ili mama yangu aje kunishawishi lakini nilikataa kabisa.
Huku kazini(mkoa mwingine) kiukweli Kuna muda natamani kumpata mwenza, hata Kuna nyuzi zaidi yaa mmoja nilipandisha humu kutafuta mwenzi lakini nimekuwa nakutana na materialistic girls, single moms na waovu wengine. Mtaani ninejaribu ila bila bila.
Sasa nimekaa nikawaza kwa kina nikajiuliza:
1. Kwani huwa napungukiwa na nini nikiishi bila mwanamke? Jibu ni HAKUNA
2. Mwanamke ana mchango wowote chanya kwenye maisha? Jibu ni HAKUNA
3. Nisipooa nitakuwa tasa au nitashindwa kuzalisha? Jibu ni HAPANA
4. Hawa viumbe wanaong'ang'ania usawa huku wanataka wanunuliwe kama bidhaa sokoni(kupitia kulipiwa mahari), je Kuna ulazima wa kuishi maisha stressful ya aina hii? Zamani mahari yalikuwa na mantiki wa sababu mabinti walikupa wamejitunza, je sasaiv mahari tunayodaiwa tunalipia Suez canal?
Kwa ufupi Jibu ni kwamba NDOA ILIKUWA NI ZAMA, SIKUHIZI NDOA NI UBABAISHAJI. Jambo la muhimu ni kufanya kazi, kulipa bima ya afya, kuweka akiba na kufurahia maisha.
Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Vijana nimeanza kuwaelewa baada ya kutukanana na mama mkwe wanguZaidi ya k mwanamke hana kingine cha Ku offer kwenye mahusiano.
Wewe tafuta hela kula mbususu enjoy maisha. Ndoa ni mfumo wa maisha uliofeli zama hizi
Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Huyo mama ni chenga sana.Ila huyo mama yake aliekwambia yupo mdogo wake recho kisa kaona umepata kazi ya kueleweka huyo mama ni mpuuzi, ilitakiwa umwambie simtaki tena recho wala mdogo wake ila unamtaka yeye alivyo hana akili angekupa mzigo.
Binafsi siwezi kujiunga kataa ndoa bado natafuta mke.
hahaa mkuu yaani mtu anakataa na kususia jambo ambalo hajawahi kulifanya. Unawezaje kuamua jambo ambalo hujawahi jaribu kabisa ila kwa maneno ya mtaani tu.Unakataa ndoa na hujawahi kuwa ndoani
Duuh!Leo rasmi nimekuwa Mwana_chama mpya wa team KATAA NDOA baada ya muda mrefu wa kujitafakari.
Duuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...Mnajidanganya sana, Mungu awajalie afya njema siku zote lkn afya ikiyumba ukiwa na mweza sahihi ana kustiri sana.
Pia hao watoto malezi yake ni magumu sana
Rekebisha iwe utapata, hutapata ni inaonyesha ukanushi.Ukiwa na pesa hutapata kizuri chechote unachokitaka
Nitawajibika. Kuliko kufuga jitu lenye meno 32 ambayo products ni stress na frustrationVijana nimeanza kuwaelewa baada ya kutukanana na mama mkwe wangu
Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.
1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?
Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?
.Hongera mkuu.
Nina swali moja kwako ama mawili.
1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?
Swali la nyongeza;
Vipi ulirudishiwa mahari yako?
Kwani si ndio kuna talaka? Na kwanini mshindwaDuuuh!...Hizi akili zinafikirisha sana....yaani ukae kwenye ndoa na kuvumilia upumbavu kwasababu ukiumwa tu, mwenza wako ndie pekee atakae kusitiri...
Wazazi wote wawili1; Ni nani aliyepokea mahari kipindi unatoa?
Kwa taarifa niliyopata, ni Mimi ndiye nilianza kupeleka mahari.2; Kati yako na huyo mshindani wako ni nani aliyeanza kutoa mahari?
Shida yenu huwa hamsomi na kuelewa. Wakataa ndo wote hutoa sababu zao, na sababu yao kubwa ni kwamba ndia za sasa mwanamke yupo kimaslahi zaidi. Mtoa mada kasema wazi kabisa kuwa amepigwa chini kwa sababu hakua na kazi nzuri akachukuliwa mwalimu([emoji28][emoji28][emoji28]) maana yake familia ipo ki maslahi na sio kujenga familia. Sasa hapo mnataka aingie akakutane na moto na wakati cheche kaziona?hahaa mkuu yaani mtu anakataa na kususia jambo ambalo hajawahi kulifanya. Unawezaje kuamua jambo ambalo hujawahi jaribu kabisa ila kwa maneno ya mtaani tu.
sijazungumzia talaka, nimezungumzia umuhimu wa kuingia kwenye ndoa....Kwani si ndio kuna talaka? Na kwanini mshindwa