Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

hakuna timu kataa ndoa, wote wana wake zao na waneufyata, wanawachora tu huku mtandaoni,,,, Au wale wa kujiita jobless, hakuna kitu kama hiko, kila mtu ako na harakati zake japo vipato havilingani,,,, ishi nayo
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.

waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
 
Hahaha
 
#Kataa Ndoa

Ndoa ni utapeli hatuna hela za kuwapa wadangaji, wanyima papuchi wanautunyima uhuru wetu ndoa ni utapeli na maatapeli tumewashtukia

We unaweza ukampa hela yako tapeli huku ukijua ni tapeli
Nani alisema being a provider ni kuhonga
 
Ukioa gold digger unadhani utaacha kukutana na haya mapicha picha,ndiyo maana inasisitizwa vijana kuoa bikra ili kuepuka hizi mbanga.

Huyo ni changudoa aliyeibahatisha ndoa na humo hatadumu kwa sababu hakuumbwa aolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…