secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu Mimi sijaingia kichwa kichwa, nimefanya upembuzo yakinifu.Mzee mmoja alikuwa Jirani Yangu Mkoa wa Pwani.
Alikuwa diwani miaka ya 90 hadi 2000. Kutokana na status yake alikuwa anaoa na kuacha. Alitembeza Rungu kwa wanawake wengi sana. Akizaa na kutelekeza kila kona.
Kutokana na muda udiwani ukaisha, uzee ukaingia, Mke wake akafariki akabaki na watoto wake wa kike.
Hivi tunavyoongea sasa hivi mambo yake yako hivi.
1. Watoto wote wa kiume ni wavuta bangi na wengine ni mashoga.
2. Watoto wake wa kike ambao wananishi na mzee wao ni watatu wote wamezalia nyumbani kila mmoja ana mtoto zaidi ya wawili.
3. Hao watoto wa kike kwa sasa wanaishi kwa umalaya na wanafanyia nyumbani kwa baba yake. Kuna siku Baba yake alimkuta mtoto wake anaFirwa Live sebleni.
4. Baada ya hapo yule mzee ana Depression. Kufa hajafa lakini cha moto anakipata.
Nilimtembelea huyu mzee ili kumtia moyo mambo aliyonisimulia anakiri kuwa Mungu anamlipa matendo aloyofanya.
Kwa hiyo Mleta Mada wewe piga tu kwa sana. Tembeza rungu mpaka livunjike.
Hapa ndo umesema utalea watoto wako vzr?I don't care. Kila mtu aubebe mzigo wake.
Hata ukijifanya mwema vp mabinti zako kupigwa rugu nilazima wahuni sio watuMungu akupe watoto wa kike wengi katika hizo harakati zako.ili timu kataa ndoa wajao,wasikose malaya wakuwatembezea marungu kujipoza hisia zao.
Wewe umeoa mkuu?Utoto tu unakusumbua,ngoja usogee kdg hv utaelewa...watu mlengo wako mnaa Akili fupi sana,
Masingo mothers ninaowaonea huruma ni wale waliopigwa mimba wakaachiwa watoto wao mkuu.Hapa ndo umesema utalea watoto wako vzr?
Kwahy kuwahudumia tuu ndio mama yao hujamfanya single mother?
Kabisa mkuu ndo maana hata watoto wa wachungaji hupigwa miti isiyo mfano.Hata ukijifanya mwema vp mabinti zako kupigwa rugu nilazima wahuni sio watu
Karibu Sana, jiandae usaini kwenye daftari la mkataba wa milele,Samahani mkuu.
Naomba mnikaribishe tu.
Ndo Nimemwambia utoto tu unamsumbua,ngoja asogee kdg umri,Mungu halali wala hasinzii mrejesho anakuletea Hapa Hapa kabla hujafa...mbaya zaid anaweza akakuletea ule mrejesho wa upo ndani taabani unahara tu kitandani,kwa vile huna mke wala Mtoto hatokei jiran Au ndugu anaekuja kwako kukusafisha na kukupikia uji,afu watu design yako hta kifo huwa kigumu kwenu kwa mazonge uliyoyafanya....endelea tu kufuata mikumbo ya mitandaoni,ubaya ubwela!Mzee mmoja alikuwa Jirani Yangu Mkoa wa Pwani.
Alikuwa diwani miaka ya 90 hadi 2000. Kutokana na status yake alikuwa anaoa na kuacha. Alitembeza Rungu kwa wanawake wengi sana. Akizaa na kutelekeza kila kona.
Kutokana na muda udiwani ukaisha, uzee ukaingia, Mke wake akafariki akabaki na watoto wake wa kike.
Hivi tunavyoongea sasa hivi mambo yake yako hivi.
1. Watoto wote wa kiume ni wavuta bangi na wengine ni mashoga.
2. Watoto wake wa kike ambao wananishi na mzee wao ni watatu wote wamezalia nyumbani kila mmoja ana mtoto zaidi ya wawili.
3. Hao watoto wa kike kwa sasa wanaishi kwa umalaya na wanafanyia nyumbani kwa baba yake. Kuna siku Baba yake alimkuta mtoto wake anaFirwa Live sebleni.
4. Baada ya hapo yule mzee ana Depression. Kufa hajafa lakini cha moto anakipata.
Nilimtembelea huyu mzee ili kumtia moyo mambo aliyonisimulia anakiri kuwa Mungu anamlipa matendo aloyofanya.
Kwa hiyo Mleta Mada wewe piga tu kwa sana. Tembeza rungu mpaka livunjike.
Sasa huyu asisajiliwe kwanza, kampuni itaingia hasaraNamuambia ukweli, Yn jamaa hataki ndoa afu anataka kuzalisha na kuwaacha sasa h n nn kama sio ungese
I'm in now.Karibu Sana, jiandae usaini kwenye daftari la mkataba wa milele,
Jiandae kuonana na Mkuu wa kitengo cha Pyuters dronedrake huko utapata somo litakalokufaa pia...
Kataa ndoa, ndoa ni jela.Ndo Nimemwambia utoto tu unamsumbua,ngoja asogee kdg umri,Mungu halali wala hasinzii mrejesho anakuletea Hapa Hapa kabla hujafa...mbaya zaid anaweza akakuletea ule mrejesho wa upo ndani taabani unahara tu kitandani,kwa vile huna mke wala Mtoto hatokei jiran Au ndugu anaekuja kwako kukusafisha na kukupikia uji,afu watu design yako hta kifo huwa kigumu kwenu kwa mazonge uliyoyafanya....endelea tu kufuata mikumbo ya mitandaoni,ubaya ubwela!
Umri wako tafadhali ili tujue namna ya kujibu hoja zao. Kama hutojaliMkuu Mimi sijaingia kichwa kichwa, nimefanya upembuzo yakinifu.
Mhhh mhhhnikitaka kumweka ndani Samia
37+ mkuu.Umri wako tafadhali ili tujue namna ya kujibu hoja zao. Kama hutojali
Ndivyo ilivyo mkuu.Mhhh mhhh
Basi umri unatisha kuamua unavyotaka. I hope ni matokeo ya Za Usso walizokupiga hawa akina Mama. Sasa naona umekata tamaa37+ mkuu.
Siyo za uso bali ni kuwa mwanamke mmoja hanitoshi aise.Basi umri unatisha kuamua unavyotaka. I hope ni matokeo ya Za Usso walizokupiga hawa akina Mama. Sasa naona umekata tamaa
its your life..
Mkuu una umri mkubwa lakini inaonekana Akili yako inaendeshwa sana na K.Siyo za uso bali ni kuwa mwanamke mmoja hanitoshi aise.
Umechelewa sana mkuu siti zimejaa