Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

kati ya wote uliowataja hata kama siwafahamu ila onesha hisani kwa samia nadhani ndo suluhu yako. Maana yangu ni kwamba tuliza vichwa vyako ishi nae.
 
Kila la kheri usitembee na wake za watu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…