Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Oeni Single Mom
Hawana Tatizo Lolote
Mimi Nikimpata Naoa Hata Awe Na Watoto 10πŸ’˜πŸ’•πŸ’–
 
Ni Woga Tu Wa Maisha Ila Mimi Single Mom Nikimpata Naoa Bila Kujari Hali Muhimu Kupendana Vizuri
Uhakika mkuu nasikia ukimuoa hawezi kukuacha na atajitahidi kujiepusha na makosa maana mara nyingi single mothers huwa wanajiona hawastqhili kwahiyo atqjitahidi kujishusha kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…