Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Jirani yangu anataka anipee ili nisimwambie mume wake ujinga anaoufanya pale mumewe anaposafiri


Na mimi sio hanithi
 
Huu uzi sio sahihi. Wamekosea kuuachia. We huoni kama unachochea uhasama kwenye jamii. Hata kama umejificha kwenye fake I'd lakini sio sawa. Kubali tu wala hatushindani mkuu.
 
Huu uzi sio sahihi. Wamekosea kuuachia. We huoni kama unachochea uhasama kwenye jamii. Hata kama umejificha kwenye fake I'd lakini sio sawa. Kubali tu wala hatushindani mkuu.
Kusema ukweli ni DHAMBI?
Kwahiyo jamii ikiona mkeo anaingia guest HUTAKI WAKWAMBIE?

Unaijua Kazi ya Whistle blower?

#YNWA
 
nyie ndowapenda mitelezo tunaowaongelea kwenye uzi wa mwenzio huko,dawa yenu mfumaniwe mpigwe nyundo za utosi shenzzzy
Utakuja kuliwa mande kuchezea wake za watu kijana wa kupenda slope
Lugha za vijana wanaotunzwa na ma-jimama
Kama unaona kuoa ni adhabu unapata basi jaribu kuolewa wewe mbona simple.

Kwani Kuna uhusiano wa kukataa kuoa na kuwa Mario?

Mi binafsi sina mpango Wala sihitaji kuoa ila pia Nina ajira nashukuru Mungu inanilea, mbunye nikitaka nakula.

NB:-
1. Hakuna uhusiano wowotee wa kula mbunye na kuoa.
2. Sio kila mbunye tunayosugua TUSIOA imeolewa

Lakini pia, mtu akikataa kuoa ni maamuzi yake na LAZIMA YAHESHIMIWE.

Narudia Tena:- kutomb* hakuna uhusiano wowotee na ndoa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…