Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kumeanzishwa nyuzi nyingi za usioe na kataa ndoa namimi nakazia ikitokea umeoa basi kamwe usije ukaoa singo maza mwenye mtoto wa kiume utajuta. Ikikulazimu oa S.M mwenye girl child. Utakuja kunishukuru baadae.
ni kweli
 
Ukute huyo mtoto wa kiume baba yake yuko hai, halafu huyo mtoto akue awe na nguvu za kujitegemea hakuna rangi utaacha kuona ukimgusa mama yake
 
Kumeanzishwa nyuzi nyingi za usioe na kataa ndoa namimi nakazia ikitokea umeoa basi kamwe usije ukaoa singo maza mwenye mtoto wa kiume utajuta. Ikikulazimu oa S.M mwenye girl child. Utakuja kunishukuru baadae.

Akiwa na mapacha moja wakike na mmoja wakiume vipi naruhusiwa kuoa??
 
Single mother awe na hela , asipokuwa na hela chenga tuu , akiwa na hela unajiattach kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…