Sasa kwa anaejua kweli tupeane muongozo wa kuelewaHuna jipya kajipange urudi tena ukiujua ukweli nayo kweli itakuweka huru kweli kweli.
Kwa taarifa yako Biblia ya Martin Luther siyo tu ilikuwa na mapungufu ya vitabu 7 vya Agano la Kale, pia aliondoa vitabu vya Yakobo, Waebrania na kitabu cha Ufunuo.Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Kwa kifupi Martin luther naweza kusema alikuwa ni Opportunistic...Alipata loop hole ya kuondoa vitabu vya Agano la kale, baada ya kurejea mitaguso ya Kanisa (hasa mtaguso wa trent) masahihisho yanahitajika hapa.Sikuwahi pata good and complete Clarification za Padre Luther na je nani mwenye mamlaka ya kutoa vitabu na kupunguza mistari ya bibblia
Pili kanuni za kanisa ndizo alizipinga au bibblia?
Ahsante
Za kutunga kivipi? Nani alitunga? Umejuaje zimetungwa?kitabu cha YUDITHI kinamtaja NEBUKADREZA kuwa ni mfalme wa ninawi,,, Kitabu cha TOBITI ni hadithi za kutunga.
Uaskofu sio Cheo ni Daraja Takatifu..Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. D
Yupo sahihi hapo kwa luther kupunguza vitabu 7 vya Agano la kalekiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Kwanini Luther alipunguza vitabu vya Agano la Kale? Kwanini alifanya attempt ya kuondoa vutabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania?Leta hoja sio vioja mama maria she is nobody on this world "mama tuna mini Mimi nawe" alisema yesu karamuni
Historia ya Biblia ni kuwa ni Kitabu kilichotengenezwa na Kanisa Katoliki na kukamilika mwaka 300 Ad...Ilikamilika ilkiwa na vitabu 72/73 ila baadae Martni Luther aliondoa vitabu 7 na kubakiwa na vitabu 66.,Biblia na historia ya kanis
Rejea Kitabu cha Mhubiri 7:12Duh kaaazi kweli kweli hapo ndo mlipo mpa cheo binadamu mwenzenu awe mwombezi. mmesahau kwamba mariam na yeye ni binadamu kama niniyi na alishakufa anasubiri ufufuo siku ya mwisho.. sasa sijui nani kawadanganya kwamba maria yuko hai...... Au ni katika kitabu gani kimemtaja Mariam Kwamba yi hai ambapo anaweza kusikia maombi yenu
Kazi kubwa ipi? Wakristo wa leo ni kina nani hao?mbona mimi siwaelewe huyu luther ndiyo mnamuelezea kirahisi hivyo,? Someni jamani historia ya huyu mtu, Wakristo wote wanakiri kwamba alifanya kazi kubwa hata mapapa waleo wanakiri
Soma Ufunuo uone jinsi Yohane anapata ufunuo..alipazwa? lete andiko acha hizo historia za kanisa mlizo mezeshwa na zilizotungwa na watu ndio maana Luther mlishindwa kujibu hoja zake..
Haya lete andiko la kupazwa kwa Maria
Nini lengo la kuondoa vitabu hivyoKwataarifa yako Biblia ya Martin Luther siyo tu ilikuwa na mapungufu ya vitabu 7 vya Agano la Kale, pia aliondoa vitabu vya Yakobo, Waebrania na kitabu cha Ufunuo..
Reformet mwenzake Calvin ndio alimzuia kuondoa vitabu hivyo vya Agano Jipya na ndipo Luther akavirejesha vitabu hivyo..
Kwamba hayo aliyoyasema siyo Neno Mungu? Au tunaposema Biblia ni neno la Mungu tunamaanisha nini hasa?uongo wa mchana hebu lete andiko.
maana maria ndiye aliyesema hivyo.
LUKA 1:46-48.
anasema watamwita mmbarikiwa lakini sio Mungu kusema tutamwita hivyo
Maria ni Mtakatifu kama Watakatifu wengine...Na Watakatifu wana kazi ya kutuombea....Wao ni Kanisa Shindi huko mbinguni..Mmepotea ninyi wakatoliki, kasime YOHANA MT. 14:6 then urudi hapa utuambie mmepata wapi maandiko ya kumuomba Mungu Baba kupitia kwa Bikira MARIA.