Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Huyo haelewi unapoteza mudakitaja embu jaribu kutoa ufafanuzi wa maneno yafuatayo
-kusujudu
-kuabudu
-kutumia
-kuwakilisha
-kutumika kama
-kusadiki
-kuamini
NOTE:jibu kwa kutumia uwelewa wako na sio Bible
hajui tofauti ya sanamu na Picha
Elimu, Elimu, Elimu...Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.
Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)
Wewe ndiye hujui kitu chochote..
Ngoja nikupe hii..
Sanamu kitaalamu ipo kwenye 3D conformal...ila picha ni kitu kilicho katika 2D conformal..
Ili uwe na Sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotaka kutengenezea statue yako....Hivyo ni transformation ya 2D kwenda kwenye 3D...
Hivyo hakuna Sanamu bila picha...picha ni sanamu iliyo katika 2D conformal..
Done!
Aliyekuambia picha ni lazima kupigwa ni nani...?Zero zero ziro!! Kwani huwezi chonga sanamu bila kupiga Picha?
For that matter I rest my case...Sanamu na picha sio kitu kimoja wacha kukariri!!
Sanamu ni kitu kuchongwa na picha ni kuchorwa ama kuchapishwa.
Ok! Sawa ..Wataalamu wanasema bora ukae kimya watu wawe na wasiwasi kama ni mjinga, kuliko kuomgea na kuwapa uhakika kua kweli wewe ni mjinga.
PICTURE AND IDOL ni vitu viwili tofauti kabisa.
Halafu unaleta mfano eti Wali na Ubwabwa [emoji23] [emoji23]
Hata kiswahili hujui?
Mtu anaepiga picha anaitwa MPIGA PICHA
haya tuambie mtu anaechonga masanamu ataitwaje? MPIGA SANAMU? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Very Good. Nilidhani hautoelewa!Aliyekuambia picha ni lazima kupigwa ni nani...?
For that matter I rest my case...
Done
Mwanafunzi huyu namfundisha 1+1=2 ila yeye anashupaza kichwa 1+1=11....Very Good. Nilidhani hautoelewa!
Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.Kumbe picha zinaweza kuona, kusikia na kuenenda ehh....?
Usijeukatufanya wote tuonekane ni matahira humu ndani. ..
mkuu now tupe maoni yako je yesu alikuja kutimiliza Yale yalioandikwa kwenye torati kuhusu unabii wake ama hapana hakuja kutimiliza coz bible ipo wazi na inaeleweka but sometimes inachanganya ukitaka mifano nitakupa.Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.
Jibu swali, Je! Mungu alikataza kuchonga sanamu na kuruhusu picha..?Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.
Msaidie kujibu, je Mungu alikataza kutengeneza sanamu na kuruhusu kutengeneza picha..?mkuu now tupe maoni yako je yesu alikuja kutimiliza Yale yalioandikwa kwenye torati kuhusu unabii wake ama hapana hakuja kutimiliza coz bible ipo wazi na inaeleweka but sometimes inachanganya ukitaka mifano nitakupa.
hapana mkuu niko side ya Roman sasa ndio najaribu kumwambia mambo jinsi yalivyo yanachanganya kwenye biblia kwasababu unaweza ukawa na right point then ikawa wrong then ikawa right kwa mfano Yesu kristo mkombozi wetu anasema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza lakini pale anaposema chochote mungu alichokiunganisha mwanadamu hapaswi kutenganisha"ukifunga ndoa" je alimaanisha nini wakati huo huo torati ya musa inasema na "mwanamke akizini nje ya ndoa na apewe taraka " ndio maana nikamuuliza anafikili vipi je yesu alikuja kuitimiliza torati ama kuitenguaMsaidie kujibu, je Mungu alikataza kutengeneza sanamu na kuruhusu kutengeneza picha..?
Mbona jibu unalo tayari, Yesu hakuja kutangua torati bali kutimiliza ( Mathayo 5:17)hapana mkuu niko side ya Roman sasa ndio najaribu kumwambia mambo jinsi yalivyo yanachanganya kwenye biblia kwasababu unaweza ukawa na right point then ikawa wrong then ikawa right kwa mfano Yesu kristo mkombozi wetu anasema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza lakini pale anaposema chochote mungu alichokiunganisha mwanadamu hapaswi kutenganisha"ukifunga ndoa" je alimaanisha nini wakati huo huo torati ya musa inasema na "mwanamke akizini nje ya ndoa na apewe taraka " ndio maana nikamuuliza anafikili vipi je yesu alikuja kuitimiliza torati ama kuitengua
NOTE:kwakuwa anapenda mifano atapata mingi tu coz niko hapa instead of Roman Catholic church.
We mwabudu sanamu acha kusumbua watu kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Somo la picha na sanamu ulipaswa uwe umeshajua tangu kindergaten. Kwa kuwa ulitoka kapa huko, umeshaelimishwa kuwa picha na sanamu ni vitu viwili tofauti.usije ukaona picha kwenye mabango barabarani ukaaza kuzisujuudia, sio sanamu hizo.Jibu swali, Je! Mungu alikataza kuchonga sanamu na kuruhusu picha..?
Mbona ni rahisi sana
Ni kwasababu huna jibu...isipokuwa unafiki..We mwabudu sanamu acha kusumbua watu kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Utifauti w vitu hivyo upo wapi..? Wali na pilau vinatofauti...?Somo la picha na sanamu ulipaswa uwe umeshajua tangu kindergaten. Kwa kuwa ulitoka kapa huko, umeshaelimishwa kuwa picha na sanamu ni vitu viwili tofauti.
Kwa kuwa picha ni kitu gani hasa..?usije ukaona picha kwenye mabango barabarani ukaaza kuzisujuudia, sio sanamu hizo.