Unafukiri Yesu(Mungu) angezaliwa palipo pachafu...?Hakuna mwanadamu ambaye asili yake siyo dhambi,,, pia hiyo haimpi yeye kuwa intercessor,, intercessor ni Roho Mtakatifu pekee
Lilijengwa na nani? Pia uweke andiko ili nami nijifunze, usitoe kichwanKanisa LA kwanza lilijengwa Antiokia
Sijui kama unajitambua kweli wewe...?Biblia haikuandikwa na Kanisa Katoliki! Iliandikwa miaka mingi sana kabla ya uwepo wa Katoliki...Bibilia ilikuwepo kabla ya ujio wa Yesu.
Biblia kipindi hiko ikikuwa ikichukuliwa kama Kitu adhimu sana ambacho mtu hatakiwa ku-temper nacho hovyo hovyo(Sacred).. Hivyo ni watu wachache waliruhusiwa kuwa na Biblia ....Martin Luther King alileta mageuzi makubwa ya kiimani,ikumbukwe enzi hizo za utawala wa Rumi ilikuwa marufuku kwa mtu wa kawaida yaani mkristo wa kawaida kusoma Biblia badala yake wali dilute Biblia na kuanzisha Mithali za waumini!..
Kuna tofauti kubwa kati ya Martin Luther King na Padre Martin Luther...The later ni Padre na the Ealier ni Mwanamapinduzi wa MarekaniSiku moja Martin Luther King akiwa anapita kwenye kitaa huko Ujerumani
Ona unavyojichanganya...siyo 99 ila ni 95...Nb soma 99 Thesis of Dr Martin Luther King
Dini ama imani, tuseme baadhi ya maeneo zina mkanganyiko wa mafundisho?Rejea Kitabu cha Mhubiri 7:12
Nayo mwili hurudi mavumbini ulikotoka nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa .....
Roho haifi kamwe...
Soma ufunuo 5:8 uone Watakatifu wanafanya kazi gani mbinguni..
Sijui kama unajitambua kweli wewe...?
Hata wakati wa Yesu Biblia kulikuwa hakuna...Biblia imekamilika mwaka 300 AD....Vitabu vyote vya Agano jipya vimeandikwa baada ya miaka na miongo mingi kupita toka Yesu Afufuke.. Sijui kama unalielewa hili..
Kingine Kanisa Katoliki ndio lime-compile Biblia Takatifu.....
Kama ni hivyo mbona makanisa ya kiprotestant yapo mengi wala sio moja?Chanzo cha uprostetant ni mafundisho potofu ya Roma,,,,