Karibu Taifa jumatano ujifunze mechi za kimataifa...usivungeVyura wameususia Uzi wako Kama walivyoisusia kandambili fc!
Kwa ufupi Mimi natamani njaaa iendelee mpaka msambaratike na timu lenu lifeee! Na mwakani lishuke daraja rasmi! Shuuubamit!
[HASHTAG]#Kima[/HASHTAG] wa Taifa#
Mkuu Tuheshimiane Wenye Timu wanakuja huu mjadala haukuhusu.Vyura wameususia Uzi wako Kama walivyoisusia kandambili fc!
Kwa ufupi Mimi natamani njaaa iendelee mpaka msambaratike na timu lenu lifeee! Na mwakani lishuke daraja rasmi! Shuuubamit!
[HASHTAG]#Kima[/HASHTAG] wa Taifa#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] level zao ndondo Cup....na hiyo jumatano watafungwa tu.Vyura wameususia Uzi wako Kama walivyoisusia kandambili fc!
Kwa ufupi Mimi natamani njaaa iendelee mpaka msambaratike na timu lenu lifeee! Na mwakani lishuke daraja rasmi! Shuuubamit!
[HASHTAG]#Kima[/HASHTAG] wa Taifa#
@gazeti mjadala ukishawekwa JF ni wa wote ni ngumu mno kuwazuia wapinzani wasishiriki na by the way ushiriki wao unaweza kuwapeni mengi machache ama machache mengi ya faidaNafikiri wote tumejionea hali ya Klabu mpaka kufikia hapa tulipo, Kufungwa
na kukosa ubingwa si jambo la ajabu. Kwa Yanga hii jambo la ajabu na aibu
ni mazingira tuliyonayo ambayo yanatufanya tufungwe kabla hatujaingia
uwanjani.
Kwa wadau mnaofahamu siri ya klabu na wale wenye mitazamo kuhusu uendeshaji
huu ni wakati muafaka kutoa maoni yenu ili tuweze kujua Yanga inakwama wapi?
Nini kifanyike ili kuinusuru Timu yetu?
(tafadhali wanasimba hamuruhusiwi kuchangia chochote hapa)
Mwenyekiti wa muda wa mjadala huu napendekeza awe Gang Chomba.
Wajue tu, Mjadala sio wao kama vipi wachungulie madirishani@gazeti mjadala ukishawekwa JF ni wa wote ni ngumu mno kuwazuia wapinzani wasishiriki na by the way ushiriki wao unaweza kuwapeni mengi machache ama machache mengi ya faida
Wapige chabo [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Wajue tu, Mjadala sio wao kama vipi wachungulie madirishani
na si kuingia ndani.
Usilete mambo ya siasa hapa kwenye michezo.Viongozi wakamatwe na kuhojiwa na Takukuru kuhusu matumizi ya mapato ya timu.
Kwa ujumla tusitafute mchawi. George Lwandamina alishatanabaisha nini kifanyike katika klabu ya Yanga. Kwa bahati mbaya hakuna aliyemsikilizaNafikiri wote tumejionea hali ya Klabu mpaka kufikia hapa tulipo, Kufungwa
na kukosa ubingwa si jambo la ajabu. Kwa Yanga hii jambo la ajabu na aibu
ni mazingira tuliyonayo ambayo yanatufanya tufungwe kabla hatujaingia
uwanjani.
Kwa wadau mnaofahamu siri ya klabu na wale wenye mitazamo kuhusu uendeshaji
huu ni wakati muafaka kutoa maoni yenu ili tuweze kujua Yanga inakwama wapi?
Nini kifanyike ili kuinusuru Timu yetu?
(tafadhali wanasimba hamuruhusiwi kuchangia chochote hapa)
Mwenyekiti wa muda wa mjadala huu napendekeza awe Gang Chomba.
Mkuu ni vema ukatueleza hapa Japo kwa Ufupi Lwandamina alishauriKwa ujumla tusitafute mchawi. George Lwandamina alishatanabaisha nini kifanyike katika klabu ya Yanga. Kwa bahati mbaya hakuna aliyemsikiliza