Mjadala mpana: Uwezo wa KIAKILI cha Generation cha 1961 - 1980 Vs Generation 1981 - 2000+

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,314
Hello wadau.

Kuna ka mjadala ka zito sana kanaendelea kimya kimya kati ya nani mkali zaidi 'KIAKILI' kizazi cha 1961 hadi 1980 Vs 1981 hadi 2000+ ?
 
Tuko jukwa la siasa. Ndo kuna mambo mkuu.
 
Hello wadau.

Kuna ka mjadala ka zito sana kanaendelea kimya kimya kati ya nani mkali zaidi 'KIAKILI' kizazi cha 1961 hadi 1980 Vs 1981 hadi 2000+ ?
Hebu kuwa wazi kama ya mbuzi, unazungumzia kidunia, Afrika au Tanzania peke yake?
 
wengi wa watu wa zamani walikua ni watu wa hovyo hovyo

yaani mtu ana bunduki moja anawaongoza watu kutoka kigoma ujiji hadi bagamoyo
 
wengi wa watu wa zamani walikua ni watu wa hovyo hovyo

yaani mtu ana bunduki moja anawaongoza watu kutoka kigoma ujiji hadi bagamoyo
Hahahahahahaha
 
wengi wa watu wa zamani walikua ni watu wa hovyo hovyo

yaani mtu ana bunduki moja anawaongoza watu kutoka kigoma ujiji hadi bagamoyo
Hao hawakuwa kizazi cha 1961 -1980
 
Wazee wengi ni vilaza tu ukitaka kuambini angalia waliomo CCM
 
Nawakubali sana wahenga wenzangu wa 1961-80. Ni vile tu hakukuwa na fursa nyingi kama zilizopo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…