UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
- Thread starter
-
- #21
E buana eeeehhhh mbona km kweli hvWazee wengi ni vilaza tu ukitaka kuambini angalia waliomo CCM
Watubwa 1961-81 ndiyo mmetufikisha hapa toka mpewe nchi mnaishikashika tu.Hahahaha
Hivi unafikiri wale ni vilaza? Wana akili nzuri tu ni njaa ndio zinawafanya wajitoe akili na kutetea kuwa nyeusi ni nyeupeWazee wengi ni vilaza tu ukitaka kuambini angalia waliomo CCM
Kwa swali kama hili tu, lisingeweza kuulizwa na Babu yako (sio baba) huko Kijijini...!Hello wadau.
Kuna ka mjadala ka zito sana kanaendelea kimya kimya kati ya nani mkali zaidi 'KIAKILI' kizazi cha 1961 hadi 1980 Vs 1981 hadi 2000+ ?
Donovan where is vasheeta?Am the first again..
Umeambiwa 1961 kuja 1980. Unaleta habari za 1500swengi wa watu wa zamani walikua ni watu wa hovyo hovyo
yaani mtu ana bunduki moja anawaongoza watu kutoka kigoma ujiji hadi bagamoyo
Ndio maana pamoja na akili na fursa nyingi wanaishi kulialia vijiweni.Kwa swali kama hili tu, lisingeweza kuulizwa na Babu yako (sio baba) huko Kijijini...!
Unaonesha hujitambui kabisa...
Hivi unapingana na ule msemo kuwa Wazee ni hazina...! ama Cha kale ni Dhahabu...!
Kwa kujibu swali lako ni kwamba., kizazi cha miaka ya 80s+ kina Akili kubwa zaidi ya kile cha 70s-.
Ila kizazii cha 70s- ndio kizazi chenye Busara/hekima zaidi ya kile cha 80s+
NB: Ni vyema ukamuomba Mungu akupe wewe pamoja na kizazi chako Busara/hekima na sio zaidi Akili..
Kumbuka pale Nabii Suleimani alipo ambiwa na Mungu (kupitia Malaika) aombe chochote kile na atampa..
Suleimani (a.w) akamuomba Mungu ampe Busara.
Mungu nae akamuambia, kwa kuwa umeomba Busara, basi nami nitakupa Ufalme, utawala Mali na vyote vinavyo kuzunguuka..!
Akili bila Busara ndio silika ya viongozi wetu wengi kwa sasa..