Elineema Mosi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 255
- 72
Nawasalimu ndugu zangu,kulalamika sio tija na hakuna manufaa kwa kulalamika.Tujadili kea mapana yake kitu gani kifanyike tumshawishi Rais yetu atupatie Katiba mpya maana ni kiu ya watu wengi nchi.