Mjadala: Mwenye Honorary Doctorate ni Doctor au Hapana?

Mjadala: Mwenye Honorary Doctorate ni Doctor au Hapana?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Kuna mjadala mkali umeibuka South Africa kuhusu honorary doctorate degrees zinazogawanywa kama njugu hata na vyuo ambavyo havina accreditation yoyote.

Ninachofahamu kwa uzoefu wangu wa system ya kimarekani ni kuwa Honrary doctorate siyo Ph.D. na ni lazima ie specific kuwa ni honorary doctorate ya namna gani bila kuingiliana na academic degrees. Kwa mfano Honorary Doctorate of Humane Letters, Honorary of Doctorate of Humanities. Huweza opia kuzitambulisha digreii za namna kwa phrase ya Honoris Cause.

Hakuna kitu kinaitwa honorary Ph.D au PhD ya heshima kwani Ph.D ni lazima ifanyiuwe kazi ni izalishe knoledge mpya kwenye academi circles kwa kupitia machapisho.

Tanzania siku hizi mtu kama Kichuguu analetewa joho na mortar board hata barabarani anavikwa na kuambiwa amepwa Ph.D ya heshima na kesho yake anatambulishwa kama Dr. Kichuguu.

Mjadala uliouibuka South Afrika umetokana na wasanii hawa kupewa honrary doctorate na chuo kisichotambulika na wakaanza kutumia titles za Dr na hivyo kuibua mengine kwenye jamii. Je yanayoendelea South Afrika sasa kuhusu mjadala huo na sisi Tanzania tuyaangalie?

1714354154028.png



What is an honorary doctorate?​

An honorary doctorate, or Doctor Honoris Causa, is a doctoral-level honorary degree that a school can give to an individual. For instance, schools may bestow an honorary law degree upon someone who's made significant impacts on law and politics. Common honorary doctorate degrees include the following:
  • Doctor of Education (D.Ed.)
  • Doctor of Arts (D.A.)
  • Doctor of Science (D.S.)
  • Doctor of Public Service (D.P.S.)
  • Doctor of Fine Arts (D.F.A.)
  • Doctor of Public Service (D.P.S.)
Honorary doctorate degrees are not equivalent to Ph.D. degrees and don't allow anyone to practice under the pretense of being a doctor in any of these disciplines. Typically, you don't refer to yourself as a doctor, even if you receive an honorary doctoral degree.
 
Jakaya kikwete alitunukiwa uprofessor lakini watu hawamwiti professor kikwete Kwa nini?
 
Mambo km haya ndo yanafanya watu wasiende class kusoma, wategemee kupewa vya buree buree.
 
Back
Top Bottom