Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Ukiwa m-mbea uwe na kumbukumbu... Vivyo hivyo ukiwa m-bishi uwe na maarifa ya kutosha...Wakenya hebu njooni hapa. Ni kamusi ipi iliwapelekea mkaandika neno Baki kwenye noti zenu!?
Halafu kuna ukifuatilia kuna makosa mengine makubwa sana.
Baki kuu ya Cetral bank of Kenya. Kitu gani hiki!?
Huu ujanja ujanja utaisha lini!?
Ukiwa m-mbea uwe na kumbukumbu... Vivyo hivyo ukiwa m-bishi uwe na maarifa ya kutosha...
Kwenye noti ya kenya imeandikwa "BANKI" Na sio "BAKI"....
Nirudi kwenye mada.. Neno BENKI/BANKI ni neno lilo kopwa kwenye lugha ya kiingereza, kiswahili cha kenya na Tanzania kina utofauti na vivyo hivyo kwenye kingereza... Wakenya wanatamka "BANK" kama "banki" sisi watanzania tunatamka "BANK" kama "benki"...
Kutokana na upungufu wa misamiati katika lugha ya kiswahili, neno hilo halina kiswahili chake sanifu.. Kwahiyo sio mkenya wala mtanzania aliyepo sahihi
..
Hayo mapungufu mengine ni ushamba wako..
Hapo imeindikwa "banki kuu ya KENYA"
Alafu kwa chini imendikwa kwa lugha ya kingereza.. Mfano wa noti hiyo angalia post inayofuata
Kamusi gani hiyo!?Umemuweka sawa, kama ni mtu mwenye kutumia ubongo vizuri atakuelewa, hii hapa tafsiri ya neno banki
View attachment 1132156
Kamusi gani hiyo!?
Usituchose. Hiyo ni kosa kubwa sana.
Hakuna kamusi yoyote ya kiswahili inasema Banki.
Maneno yanatoholewa na yanasanifishwa.
Mnatakiwa mkubali makosa.
Tukianza kuchambua kuna makosa mengi mno kwenye noti ya kenya.
1. Banki ni kosa la kitaaluma
2. Banki kuu ya Central bank of Kenya - Hili ni kosa la kiuandishi.
Nadhani hii ni noti mpya ya 2019.
Hii hapa Kamusi ya TUKI
View attachment 1132165
Wakenya hebu njooni hapa. Ni kamusi ipi iliwapelekea mkaandika neno Baki kwenye noti zenu!?
Halafu kuna ukifuatilia kuna makosa mengine makubwa sana.
Baki kuu ya Cetral bank of Kenya. Kitu gani hiki!?
Huu ujanja ujanja utaisha lini!?
kafie hukoo na uswahili wenu huoMimi sishangai kupata makosa kama hayo kutoka Kenya. Kenya wamejulia wapi Kiswahili?
Umemuweka sawa, kama ni mtu mwenye kutumia ubongo vizuri atakuelewa, hii hapa tafsiri ya neno banki
View attachment 1132156
kafie hukoo na uswahili wenu huo
Kamusi gani hiyo!?
Usituchose. Hiyo ni kosa kubwa sana.
Hakuna kamusi yoyote ya kiswahili inasema Banki.
Maneno yanatoholewa na yanasanifishwa.
Mnatakiwa mkubali makosa.
Tukianza kuchambua kuna makosa mengi mno kwenye noti ya kenya.
1. Banki ni kosa la kitaaluma
2. Banki kuu ya Central bank of Kenya - Hili ni kosa la kiuandishi.
Nadhani hii ni noti mpya ya 2019.
Hii hapa Kamusi ya TUKI
View attachment 1132165
Unaumwa wewe. Kenya kuna taasisi rasmi, tena ambayo ilibuniwa kupitia sheria bungeni. Chama cha Kiswahili cha Taifa(CHAKITA), ndio taasisi ambayo imepewa jukumu la kufanya utafiti, kukuza na kukieneza kiswahili. Au wewe ulijua kwamba wanafunzi Kenya wanatumia syllabus na vitabu ambavyo vimetoka kwa wasomi wenu ambao huwa hawajielewi? Tukitumia mtazamo wako finyu ina maana kwamba sote tunaotumia kiswahili tunakitumia kimakosa. Yaani bila muelekezo wa wenyeji, wakazi na wasomi kutoka Lamu na visiwa vya Kiwayuu, Kenya maeneo ambayo ndio chimbuko la lugha ya kiswahili kama tunavoijua.Ahaaa haaa haaa
Siyo kila KAMUSI ya kiswahili ni sahihi. Kimataifa, taasisi peke ambayo imechapa KAMUSI KUU YA KISWAHILI ni Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nje ya hii taasisi hakuna kiswahili.
Ahaaa haaa haaa
Siyo kila KAMUSI ya kiswahili ni sahihi. Kimataifa, taasisi peke ambayo imechapa KAMUSI KUU YA KISWAHILI ni Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nje ya hii taasisi hakuna kiswahili.
Ukiwa m-mbea uwe na kumbukumbu... Vivyo hivyo ukiwa m-bishi uwe na maarifa ya kutosha...
Kwenye noti ya kenya imeandikwa "BANKI" Na sio "BAKI"....
Nirudi kwenye mada.. Neno BENKI/BANKI ni neno lilo kopwa kwenye lugha ya kiingereza, kiswahili cha kenya na Tanzania kina utofauti na vivyo hivyo kwenye kingereza... Wakenya wanatamka "BANK" kama "banki" sisi watanzania tunatamka "BANK" kama "benki"...
Kutokana na upungufu wa misamiati katika lugha ya kiswahili, neno hilo halina kiswahili chake sanifu.. Kwahiyo sio mkenya wala mtanzania aliyepo sahihi
..
Hayo mapungufu mengine ni ushamba wako..
Hapo imeindikwa "banki kuu ya KENYA"
Alafu kwa chini imendikwa kwa lugha ya kingereza.. Mfano wa noti hiyo angalia post inayofuata
BANKI Kuu ya...... Central of Kenya...Duh[emoji75]Umemuweka sawa, kama ni mtu mwenye kutumia ubongo vizuri atakuelewa, hii hapa tafsiri ya neno banki
View attachment 1132156
Banki Kuu ya Central of Kenya...Duh[emoji75]View attachment 1132257View attachment 1132261
Unaumwa wewe. Kenya kuna taasisi rasmi, tena ambayo ilibuniwa kupitia sheria bungeni. Chama cha Kiswahili cha Taifa(CHAKITA), ndio taasisi ambayo imepewa jukumu la kufanya utafiti, kukuza na kukieneza kiswahili. Au wewe ulijua kwamba wanafunzi Kenya wanatumia syllabus na vitabu ambavyo vimetoka kwa wasomi wenu ambao huwa hawajielewi? Tukitumia mtazamo wako finyu ina maana kwamba sote tunaotumia kiswahili tunakitumia kimakosa. Yaani bila muelekezo wa wenyeji, wakazi na wasomi kutoka Lamu na visiwa vya Kiwayuu, Kenya maeneo ambayo ndio chimbuko la lugha ya kiswahili kama tunavoijua.
Kati yako na mimi nani kakurupukaWacha kuwa mkurupukaji na mwenye kiburi cha kijinga, jifunze kutulia na kukubali kuelimishwa, hiyo hiyo link uliyoweka humu, ifuate hadi pale utaona tafsiri ya neno Banki, lipo na limeelezwa vizuri. Inafaa ufahamu Kiswahili huwa kimetohoa maneno mengi kutoka kwa lugha za watu, hakijajitosheleza
Makosa makubwa sana ya kiuandishi. Yaani ni ujinga wa hali yaju. Sentensi mbili mistari miwili ichangiwe na neno moja!!? Hilo siyo gazeti kijana. Pesa ni moja ya National Identities.Neno Kenya hapo limekuzwa kwa mtindo wa graphic design ili isomeke
Banki kuu ya Kenya
Central bank of Kenya
Jifunze mambo ya kisasa ya graphics acha kuwa kama bibi kijijini