Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Mlishaenda kufundisha Kiswahili Afrika kusini..?Neno Kenya hapo limekuzwa kwa mtindo wa graphic design ili isomeke
Banki kuu ya Kenya
Central bank of Kenya
Jifunze mambo ya kisasa ya graphics acha kuwa kama bibi kijijini
Kati yako na mimi nani kakurupuka
Makosa makubwa sana ya kiuandishi. Yaani ni ujinga wa hali yaju. Sentensi mbili mistari miwili ichangiwe na neno moja!!? Hilo siyo gazeti kijana. Pesa ni moja ya National Identities.
Mlishaenda kufundisha Kiswahili Afrika kusini..?
Naaam, ndio maana NBA ina umaarufu zaidi ya hizo ligi zenu kiduchu. Wasomi na wakenya wa kawaida wamechangia pakubwa kwenye kukikuza na kukieneza kiswahili kimataifa. Kutoka kwa watu mashuhuri kama mwendazake Prof. Al Amin Mazrui hadi kwenye walimu wanaofunza kiswahili kwenye vyuo vikuu ughaibuni na kwa wanaofanya tafsiri mitandaoni na kwenye vitabu. Maneno kama safari(ambalo sasa lipo kwenye kamusi ya kiingereza), hakuna matata, simba, pumba, jambo bwana yote yamepata umaarufu kimataifa kwasababu ya wakenya. Hao wasomi wenu wapo busy wakimsifia Jiwe na chama chake cha mafisi.Ahaaa haaa haaa
Punguza povu kijana WANGU.
Mfano Kenya kuna chama cha mpira wa kikapu. Lkn huwezi kukilinganisha na NBA.
Ndivyo ilivyo kwenye hicho chama unachokisema.
Alafu sio kwenye hizi noti mpya pekee yake. Neno Banki limekuwa kwenye noti zote za Kenya tangu tuanze kutumia sarafu yetu sisi wenyewe.Wabongo kuleni kwa macho, najua kwenu waliotumia noti kama hizi za shilingi hamsini ni mababu zenu. [emoji1]
Noti ya zamani hiyo. Ila huyo mkora sio zaidi ya yule mchawi aliyewalemaza na sera zake za kipumba kwa jina ujamaa. Yule mwalimu aliwa'sex' kupindukia, ndio maana mpo mpo tu mmechanganyikiwa kweli kweli hadi sasa hivi. Popote alipo ajue kwamba mungu anamuona. [emoji23]Naona Sura ya Mkora iko kwa Noti[emoji2][emoji2][emoji2]
Hiyo isikupe wasiwasi maana tulishaingia mkataba, hiyo ni kazi ambayo Watanzania hawaiwezi maana wengi wenu hamuna uwezo wa kuongea zaidi ya Kiswahili, sasa tunapokwenda kwenye ushindani wa kimataifa dhidi ya Watanzania, huwa tuna wapiga chini maana mnaishia kwenye Kingereza cha ze ze ze na catarist.
Mufahamu kwamba, ili umfunze Msouth Kiswahili, lazima mpatane kwanza kwa Kingereza au labda utumie lugha ya ishara za mikono hehehehe
Hili suala la nyie kutokujua Kingereza huwa mtaji kwetu, maana hata huko kwenu makampuni huona bora kuajiri Wakenya na Waganda kwenye baadhi ya kazi maana nyie mumeganda kwenye lugha moja ambayo ina mapungufu makubwa sana kwenye nyanja za kimataifa.
Noti ya zamani hiyo. Ila huyo mkora sio zaidi ya yule mchawi aliyewalemaza na sera yake ya kipumba kwa jina ujamaa. Yule mwalimu aliwa'sex' kupindukia, ndio maana mmechanganyikiwa kweli kweli hadi sasa hivi. Popote alipo ajue kwamba mungu anamuona. [emoji23]
Wakenya hebu njooni hapa. Ni kamusi ipi iliwapelekea mkaandika neno Baki kwenye noti zenu!?
Halafu kuna ukifuatilia kuna makosa mengine makubwa sana.
Baki kuu ya Cetral bank of Kenya. Kitu gani hiki!?
Huu ujanja ujanja utaisha lini!?
Hapo #2 hapahitaji uchambuzi bhana.Kamusi gani hiyo!?
Usituchose. Hiyo ni kosa kubwa sana.
Hakuna kamusi yoyote ya kiswahili inasema Banki.
Maneno yanatoholewa na yanasanifishwa.
Mnatakiwa mkubali makosa.
Tukianza kuchambua kuna makosa mengi mno kwenye noti ya kenya.
1. Banki ni kosa la kitaaluma
2. Banki kuu ya Central bank of Kenya - Hili ni kosa la kiuandishi.
Nadhani hii ni noti mpya ya 2019.
Hii hapa Kamusi ya TUKI
View attachment 1132165
Mwalimu bado yupo boss, kupitia chama chake cha mafisi na washirikina ambacho kimewakaba kwenye m@p#mb# kwa miaka zaidi ya hamsini! Ndio maana pale kwenye ikulu yenu mmefuga mshamba, mzee 'semi-illiterate'. Shauri yenu jombaa, mtakimbiza mwenge kama vichaa hadi siku ya kiama.Hahahaha, I expected such povu,
But at least Mwalimu is gone, we can fix what was not right,
Unlike you guys, Mkora aliwatomba sideways., And he knew that wasnβt enough, so he made sure his ascendants (his Famiy) continues fu.cking the whole of Kenya forever, a reason mtoto wa mkora is stealing at State house as we speak. U know it nah??[emoji2]
Kuna ndugu zangu wanafundisha Kiswahili Kenya halafu na nyie mnaenda kufundisha huko Sauzi si kichekesho hicho with ur poor grammar... Anyway hata mkifundisha huko ss tunafundisha China na nchi zingine huko...kuhusu kujua English si kweli kwamba eti ss ni dark kiasi hicho katika lugha hiyo...kumbuka English as our second language inafundishwa toka primary na kuendelea huko...kwa hiyo hata ss ung'eng'e tunatema vzr tu....huo mkataba mlioingia na wasauz ni kwa sababu zao binafsi tu.Hiyo isikupe wasiwasi maana tulishaingia mkataba, hiyo ni kazi ambayo Watanzania hawaiwezi maana wengi wenu hamuna uwezo wa kuongea zaidi ya Kiswahili, sasa tunapokwenda kwenye ushindani wa kimataifa dhidi ya Watanzania, huwa tuna wapiga chini maana mnaishia kwenye Kingereza cha ze ze ze na catarist.
Mufahamu kwamba, ili umfunze Msouth Kiswahili, lazima mpatane kwanza kwa Kingereza au labda utumie lugha ya ishara za mikono hehehehe
Hili suala la nyie kutokujua Kingereza huwa mtaji kwetu, maana hata huko kwenu makampuni huona bora kuajiri Wakenya na Waganda kwenye baadhi ya kazi maana nyie mumeganda kwenye lugha moja ambayo ina mapungufu makubwa sana kwenye nyanja za kimataifa.
umejifunzia? Haaahaaa ama kweli nyani haoni kunduleTeh teh teh tihiii
Wewe mwenyewe umejifunzia kiswahili hapa JF. Ona hata maneno mengine unavyoyaandika.
Kuna ndugu zangu wanafundisha Kiswahili Kenya halafu na nyie mnaenda kufundisha huko Sauzi si kichekesho hicho with ur poor grammar... Anyway hata mkifundisha huko ss tunafundisha China na nchi zingine huko...kuhusu kujua English si kweli kwamba eti ss ni dark kiasi hicho katika lugha hiyo...kumbuka English as our second language inafundishwa toka primary na kuendelea huko...kwa hiyo hata ss ung'eng'e tunatema vzr tu....huo mkataba mlioingia na wasauz ni kwa sababu zao binafsi tu.
π π π Hahaa! MK254 itabidi ufungue darasa kabisa, maana jamaa ana kichwa kigumu...Wacha kuwa mkurupukaji na mwenye kiburi cha kijinga, jifunze kutulia na kukubali kuelimishwa, hiyo hiyo link uliyoweka humu, ifuate hadi pale utaona tafsiri ya neno Banki, lipo na limeelezwa vizuri. Inafaa ufahamu Kiswahili huwa kimetohoa maneno mengi kutoka kwa lugha za watu, hakijajitosheleza
Wuhuhuuuu..mnipe historia ya kiswahili...ikiwa km hyo taasisi ya chuo kikuu cha dar inahusika katika chimbuko la kiswahili na log off account yangu jf..Ahaaa haaa haaa
Siyo kila KAMUSI ya kiswahili ni sahihi. Kimataifa, taasisi peke ambayo imechapa KAMUSI KUU YA KISWAHILI ni Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nje ya hii taasisi hakuna kiswahili.
Kwhyo unataka kusema watu wa lamu hawajui chochote kuhusu kiswahili kuliko hyo taasisi ya chuo kikuu cha dar...Mungu wangu...hao jamaa level zao ni wanzanzibar pekeeake....tanzania bara hamna kitu banaAhaaa haaa haaa
Punguza povu kijana WANGU.
Mfano Kenya kuna chama cha mpira wa kikapu. Lkn huwezi kukilinganisha na NBA.
Ndivyo ilivyo kwenye hicho chama unachokisema.