Mjadala: Nafasi ya Tanzania kutokana na hali inayoendelea DRC

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
1. Historia ya Hali ya Mashariki ya DRC
2. Chanzo ni kipi cha kutoweka kwa Amani
3. Tanzania inaathirika vipi na hali hiyo?
4. Je, ni akina nani wahusika wakuu wa hali inayoendelea DRC?
5. Tanzania inatakiwa kufanya nini?

Ni kweli PAKA ni muhusika? Na kwani anafurahia kuona waafrika wenzake wanakufa?

KARIBUNI TUJADILIANE KWA KINA
 
1. Tanzania inadhirika kutokana kuipoteza biashara ya usafirishaji kati yake na Congo DR.
2. Kagame ndiye shida na anataka Taifa la watusi Congo Mashariki.
3. Tanzania itume battalion 4 za kijeshi sawa na Askari 3400. Ndani ya siku mmoja Kagame ataikimbia Congo.
4. Rwanda isimamishwe uanachama AU na EAC sambamba na mataifa yote Africa kuvunja uhusiano wa Kibalozi na Rwanda.
 
DRC is a failed State.

Utawala uliopo huko upo dhaifu Sana.
Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo pia lipo dhaifu Sana kupita kiasi.

Jeshi la DRC lipo uchi wa mnyama kwa Utawala wa Rwanda.
Kuna uasi wa chini chini usiokwisha ndani ya Jeshi la DRC.

Wanajeshi wengi sana wa DRC pia ni Wapiganaji wa Siri wa M23.

Viongozi wengi wa Serikali ya DRC pia ni Mawakala wa Siri wa Utawala wa Rwanda na Vikosi vya Waasi wa M23.

Try to imagine: General Kabarebe aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi hiyo ya DRC, lakini baadaye Mwanajeshi huyo alihama nchi na kwenda kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi ya Rwanda.

Wewe uliwahi kuona wapi jambo la namna hii?

Tanzania haipaswi kujihusisha kwa njia yoyote ile na jambo hili.

Mambo ya ngoswe aachiwe mwenyewe ngoswe!
 
Very interesting:
The richest man in Uganda is Chinese and is ruling a China Town in Uganda

Rwanda Kagema has been Mseven Pal/buddy
They both do big business of the battery minerals from Congo with China including Gold.
Tkshekedi made a grave mistake, changing mining contracts on mining with China. He went on to say 80% of minerals mining in Congo is controlled by Chinese it is urgent to diversify. He went on to meet Biden in Angola.

Guess what would happen ?

M23 are ethnic Tutsi are in Congo, Rwanda, Uganda and maybe in Tanzania and Burundi.

Ethenic Tutsi and Rwanda are royal to China also friends of the west, unsuspected.

China has bought everybody including our presidents - Samia included
 
Sidhani kama haya yanaukweli
 
DRC is a failed State.

Utawala uliopo huko upo dhaifu Sana.
Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo pia lipo dhaifu Sana kupita kiasi.

Jeshi la DRC lipo uchi wa mnyama kwa Utawala wa Rwanda.
Kuna uasi wa chini chini usiokwisha ndani ya Jeshi la DRC.

Wanajeshi wengi sana wa DRC pia ni Wapiganaji wa Siri wa M23.

Viongozi wengi wa Serikali ya DRC pia ni Mawakala wa Siri wa Utawala wa Rwanda na Vikosi vya Waasi wa M23.

Try to imagine: General Kabarebe aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi hiyo ya DRC, lakini baadaye Mwanajeshi huyo alihama nchi na kwenda kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi ya Rwanda.

Wewe uliwahi kuona wapi jambo la namna hii?

Tanzania haipaswi kujihusisha kwa njia yoyote ile na jambo hili.

Mambo ya ngoswe aachiwe mwenyewe ngoswe!
Hapana
Kabila alikua rafiki wa Mseveni, walifanya biashara nzuri. Hadi leo biashara zake zipo. Na wachina ni kipenzi cha Kabila.

Maslahi ya China yanakua hatari chini ya Tshikedi. Na kweli huyu jamaa anatisha na democracy kwa kiasi kafanikisha.

Believe me African presidents are hustlers, “useful idiots” they are used like toilet papers. The Dar meeting was financed by China
 
Sidhani kama haya yanaukweli
Believe me, you can convine a meeting of these useful idiots and tell them I build you this headquarters for AU and they all clap hands, they don’t know that they are used already. Now they are told fight Tshekedi they accept. The culprit is there waiting to get what he wants.

Nyerere na Magufuli were clever boys, believe
 
Kuna proof yoyote kuwa The Dar meeting was financed by China
 
Unaongea imagenary things.
Where did you get this information?
 
Kuna proof yoyote kuwa The Dar meeting was financed by China
Amka
Unakumbuka kuwa:
Wakati waJK kila barabara na miradi mikubwa ilikuwa inajengwa na wachina?

Alipokuja JPM mambo yakabadirika:
Bwawa la Nyerere walipewa Egypt
SGR walipewa Uturuki na Portugal
Meli za Ziwani walipewa South Korea
Unaona chuma hicho. Hiyo miradi ndiyo ilikuwa mikubwa wakati huo.

Sasa JPM yupo wapi?

Umeona sasa baada ya JPM kila mradi anapewa Mchina na deni lipo 96 trillion
 
Hakuna proof yoyote umeweka kuonesha kuwa Mkutano wa Amani wa DRC sponsored by China.

JIKITE KWENYE MADA
 
1. Historia ya Hali ya Mashariki ya DRC
2. Chanzo ni kipi cha kutoweka kwa Amani
3. Tanzania inaathirika vipi na hali hiyo?
4. Je, ni akina nani wahusika wakuu wa hali inayoendelea DRC?
5. Tanzania inatakiwa kufanya nini?

Ni kweli PAKA ni muhusika? Na kwani anafurahia kuona waafrika wenzake wanakufa?

KARIBUNI TUJADILIANE KWA KINA
Tanzania tumekosea sana kujiegemeza na upande mmojawapo katika mgogoro huo na kusababisha wanajeshi wetu kuuawa kila siku kama kuku, tulipaswa kupeleka wanajeshi wetu huko kama walinda amani, siyo kujihusisha na mapigano moja kwa moja….Ujinga usiomithilika!
 
Back
Top Bottom