Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
1,489
Reaction score
900
Mjadala unaendelea mitandaoni wakishindanishwa Nandy na Zuchu nani hodari wa kuimba? Kura yako kwa nani?
20200415_122603.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zuchu bado hatujakaa nae muda mrefu,tusubiri nae amalize mwaka au miaka ndio tuanze kumuweka kwenye battle na wenyeji gemuni
 
Nandy Anaelekea kuwa legend, Zuchu ndio kwanza anaanza. Ili uitwe legendary kwenye muziki ni lazima uwepo kwenye game kwa 15 years.

Zuchu ni mwandishi, Nandy sio mwandishi.
Nandy ni best vocalist anaweza kuimba styles zote mfano R&B, Gospel na Rumba.
Zuchu ni limited kwa aina ya muziki anaoufanya Baibuda.
.
all in all kumlinganisha Nandy na Zuchu ni kumkosea heshima Nandy ni sawa na kumlinganisha Torry lanez na Jay z people will call you mad!
 
Zuchu ni limeted kwa aina ya muziki anaoufanya Baibuda.
.
all in all kumlinganisha Nandy na Zuchu ni kumkosea heshima Nandy ni sawa na kumlinganisha Torry lanez na Jay z people will call you mad!
Umemaliza.
Ndugu wajumbe najua bundle lenu siruhusiwi kuwapangia jinsi ya kutumia lakini thread closed [emoji359]
 
Hiv kwanini sisi wabongo tunatabia yakuwafananisha watu waacheni wafanye mziki wao zuchu ana muda mfupi kwenye game kumlinganisha na Nandy sio fair ili litasababisha chuki wenyewe kwa wenyewe wakati game ya muziki wetu wademu wapo wachache.
 
Hiyo page inayomshindanisha Nandy na Zuchu saizi ni ya kipumbavu.

Its too early. Tumpe muda huyu Zuchu.

Ndio wanadai yupo kwenye hizi harakati kitambo. Lakini its just too early.

Japo ujio wake ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Huko ndiyo tunaita kupotosha umma, umeongea vizur kasoro ni pale tu uliposema Zuchu anaimba mziki wa aina moja, Kama ulifatilia official lounge yake alipokua akihojiwa usingesema hayo maneno

Tumpe muda Kwanza at least a year Kama atakua akiimba tu hiyo baibuda bila kubadilika basi comment yako itakua proved lakin siyo fair for an EP unakuja na assumption.

Back
Top Bottom