Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

Zuchu napenda mistari ya ngoma zake anatumia maneno fulani hivi ya kizanzibar nina mtoto fulani hiv wakizanzibar namtolea macho kuna baadhi ya maneno amekuwa akinifundisha ya kizanzibar
 
Zuchu napenda mistari ya ngoma zake anatumia maneno fulani hivi ya kizanzibar nina mtoto fulani hiv wakizanzibar namtolea macho kuna baadhi ya maneno amekuwa akinifundisha ya kizanzibar
Dogo jiangalie sana huyu ni demu wangu ashanambia jingalie kijana si wazee wa lumumba wabaya sana
 
Hako kademu kakulia ndo natamani... kawe ka wifi kangu!! hata iweje haka katashinda tu!.... sura na Muziki bana inakabeba! lkn huyu huku Reggae muffin!! huyo ooo!! mwee! akaimbe zake huko jamaica!
 
Mpare na mzanzibar huoni kama mzanzibar ashinda wapare labda kesi ndo atashinda
 
bora wangesema nandi kwa ruby

lkn huyo venus kwa nandi bado mduchu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…