Kama binadamu basi lazima nina mapungufu. Hata wewe hauko perfect 100%Hata wewe malaika hauko perfect?
Yep!, Keep on dreaming!!!Jiandae kuwa Single Mama tukutoooooooooooo*****e mpaka akili zikurudie
Mpenda arage[emoji23][emoji23][emoji23]Kuacha vyombo vichafu vya kutosha kwenye beseni! Kuwa na mwanamke raha sana, adi pichu anazifua bila shida! "I love you so much, and l'll always do my Kwezi!!  
Akianza kuruka ukae mbali.
Huko hakuna njia we mtoto!!
Aliyekwambia kila mwanamke ni mchafu na mpenda umbea wa instagram ni nanimnataka ndoa za kudumu wakati usafi, heshima wala uwezo wa kumudu majukumu hamna. kutwa kuwaza kujipamba na kufatilia umbeya wa istagram
nani anataka mwanamke wa ivo,mkwanja ntaupata tu na ndoa ya serikali itahusika.
Natafuta sana hio dawa...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe bado uko single! Ngoja tulete maombi, ukizingatia sifa zote tunazo