MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

1. Mbona huo umri sio mdogo sana au we ni mhenga?
2. Majority ya wanawake wana watoto, the only difference ni kuwa kuna baadhi watoto wao wapo hai na wengine watoto wao waliwaua so Muombe Mungu akupe aliye sahihi kwako.
3. Una haki ya kuchagua maana ni mtu utakayeishi nae maisha yako yote, sema tu huwa tunaangalia sana mtu wa nje na kumsahau mtu wa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…