[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]teh teh ! toka njipate dawa shoga hajanywea nyumban !nashindwa elewa !na hayumo humu ! nasema ina maana ibilisi amenizid nguv hivi hiv ? aiseee! amebanwa sana siku 3 hizi !hanuki ht pombe bas halali anageuka tu !lol
Endelea kuchagua wewe kwenye positivityNegativity yako haitaathiri maisha yangu. Wewe ni nani mpaka uhitimishe nitaangukia garasa? Take your negativity and shove it where the sun doesnt shine.
we jamaa unawaza kama mimi wenzetu waislam wanafaidi sana mtu akizingua unapiga chini huku kwa wakristo watu hawakuelewimie ni vile sina kipato tu cha kukidhi kumtunza mwenzangu ila tofauti na hapo ngejitupia popote (ndoa ya serikali) kama chaguo likiwa si sahihi navunja ndoa.
mambo ya ndoa za kufungana maish nani? anataka.
Mungu ni mwaminifu kwa kweli.... Nafikiri tumekuwa familia sasaWala sijabadilika ila mmeanza kunielewa.
Hahaaaa duuuh, umenikumbusha hiyo physical assessment nimecheka sana ujue ....Mmh sikupatii picha na hiyo assessment. ....
Mmh we bora tu usioe aisee, wa hivi hayupo hapa duniani, hata dada na mama yako hawako hivyoLakini mkuu,kuna mapungufu mengine ni mzigo kias kwamba unashindwa uanzie wapi kuyarekebisha,mfano mi sipendi kuwa na Mwanamke ambaye ni mvivu wa kuhangaikia maisha,mwenye uchoyo,asiyependa ndugu/Wazaz wangu,mwenye matumiz mabaya ya fedha,asiye na malengo,mbish,asiyeniheshim,asiyetoa Siri za familia nje,asiyependa vitu vya gharama ilhali uwezo huo sina,asiyependa kula bata kupitiliza,asiwe mlevi n.k
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Aah wapi, hiyo ingehusika kabla hujawowa, assessment ya kwanza si uliipitia kidogo bana, (nimekumbuka kitu nimecheka kama mwehu hapa). Yani acha tu broo, tutaongea....Hahaaaa duuuh, umenikumbusha hiyo physical assessment nimecheka sana ujue ....
Au ndo maana ........ eeh?!!
Madame..Ni kwamba ombi lake limekubaliwa ama?Nafikiri tumekuwa familia sasa
Unajua wewe ndo unanichelewesha kuoa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie ndio dawa yake ataacha tu.
Hahaaa usicheke sana nitakutafuta inbobo bana, we tulia tu sista sahivi siko reachable on air, teh!Aah wapi, hiyo ingehusika kabla hujawowa, assessment ya kwanza si uliiona kidogo bana, (nimekumbuka kitu nimecheka kama mwehu hapa). Yani acha tu broo, tutaongea....
Mmmh nimekushindwa. ....Hahaaa usicheke sana nitakutafuta inbobo bana, we tulia tu sista sahivi siko reachable on air, teh!
Halafu ujue kuku wako bado yuko jokofuni anakusubiri hata ukae miaka mia, teh!Aah wapi, hiyo ingehusika kabla hujawowa, assessment ya kwanza si uliipitia kidogo bana, (nimekumbuka kitu nimecheka kama mwehu hapa). Yani acha tu broo, tutaongea....
Wapo labda wewe haujapata bahati ya kuwaona,we endelea kuamin hivyo,ila shida tu kuwapata maana hawana alamaMmh we bora tu usioe aisee, wa hivi hayupo hapa duniani, hata dada na mama yako hawako hivyo
Hahahaha unaona sasa raha ya kutafuta ushirikiano na weweHalafu ujue kuku wako bado yuko jokofuni anakusubiri hata ukae miaka mia, teh!