Usihofu. Utaratibu wa kuchora sina. New member nachora kitu gani?Hawa nawafahamu vizuri...hapo anatuchora tu.
Mmhh!!hili nalo neno......ss tfnyeje?tubak kuwa single au ndo tkubal maumiv in case ika happen?Kwa tamaduni na mazingira ya kiafrika yalivyo ukishafika miaka 33+ ni vigumu sana kupata mwenza aliye sahihi hii ni kwa jinsia zote!
Kwa umri huo watu wa umri wako ambao wako available watakuwa ni wataraka au masingle mothers/fathers na waliokobuhu kwenye mahusiano kiasi kwamba hata kuumiza au kuumizwa hawaoni shida kabisa.
Kwa uzoefu kakaKweli? Scientifically?
Nieleweshe,Umefanya utafiti au ni hearsay tu mkuu? Unajua umri "sahihi" kwa mwanamke kutafuta watoto ni kuanzia umri gani hadi umri gani?
Haswa.Labda ni kwa sababu single mamaz mnawakwepa ndo mana wanaamua kuzichomoa ili waonekane 'wabichi'
Mwanamke unayemtaka 0ver 24-26 angalia mkiwa na lengo la kupata watoto atapata shida za uzazi.
No! Nilimànisha huo ndo umri sahihi wa kuanza kupata mtoto. Above, 26, 30+ huenda/probably ikawa huge riskKhaa!, shida ya uzazi below 26yrs?
No! Nilimànisha huo ndo umri sahihi wa kuanza kupata mtoto. Above, 26, 30+ huenda/probably ikawa huge risk
Hio figure yake haina ukweli wowote kisayansi, ni mtazamo wake.
usicheke mkuu hali ni mbaya sana dada zetu wanatoa mimba kama wanaenda tu kujisaidiaUmenichekesha Kweli mkuu. Ila inasikitisha.
ungesoma vizuri ungeelewa, at their 20-26 wanafanya sana abortion ndiyo maana mpaka age hiyo hawana watoto, ushahidi ninao ila sipo liable kuutoa kwako wala popote isipokua mahakamani tu.Mkuu, una ushahidi gani kuwa wadada wa age hiyo wanafanya sana abortion?
apana mkuu mimi ni mtu wa taaluma nyingine tuMkuu utakua doctor wewe
[emoji23] watu wanapenda kukaa bila kuoa au kuolewa , hasa watumishi wa serikali. Yan kama females, unaeza ata kionyesha nia , ankuwa haeleweki eleweki, hasa uwe mtumishi mwenzake na same salary scale,,, mmmmhNaona karekebisha.
Nikataka kufikiri ni zile design za kutaka tuolewe na 18yrs ili tuzae. Halafu mtu sijui college ataenda lini.
Haswa. Na sikuhizi wametiq fora,,, kama akina J kryia ,ChangMoto kubwa mkuu ni kwamba siku hizi wanawake wengi wanapenda 'harusi' na si 'ndoa'
[emoji23] watu wanapenda kukaa bila kuoa au kuolewa , hasa watumishi wa serikali. Yan kama females, unaeza ata kionyesha nia , ankuwa haeleweki eleweki, hasa uwe mtumishi mwenzake na same salary scale,,, mmmmh