alafu wengi msichojua ni kwamba shafii ni shabiki kulia lia kabisa wa simba tangu na tangu na kashawai kua mmoja ya mascot wa simba enz za kina mulami ..ndo mtu alimletaga Joseph owino simba,,...matatzo yake na viongoz wa simba na kuminyiwa mirija yake ya ulaji ndo yalosababisha mabifu bifu hayo .ila shafii ni shabiki wa simba kindaki ndakiKatika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
Case closedMchambuzi wa soka kwenye media sio management ya soka, wenye kumbukumbu mnajua kuwa baadhi walishampendekeza Dr. Rick apewe ukocha wa Taifa stars!
Shafi anafit sana hapo alipo na ndio maana mchango wake unaonekana dhahiri. Ukimuuliza anaweza kukueleza kwa usahihi ni nani (akina nani) anastahili kuongoza mpira wa Tanzania au hata ni structure gani itumike.
Aliwaambia ukweliKwanini hawampendi?
Alijaribu kuomba uongozi lakini mizengwe iliyomkuta sidhani kama ana hamu tena ya kujiingiza huko. Waliojificha huko hawataki watu ambao watakuja kuwaharibia mirija yao.Nimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana na TFF pamoja wadau wengine kama Boniface Pawasa na wengineo
Mashindano yalishirikisha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu jijini Dar es salaam, hakika ulikua ubunifu wa hali ya juu sana, nami nina medali ya mshindi wa pili wa fainali ile ya kwanza ya beach soccer
Shaffi huyu huyu amebuni ndondo cup, zamani tulizoea kucheza mitaani lakini haikua na nguvu kubwa kama sasa, tumeona ndondo cup imeweza kuwatoa wachezaji kadhaa na wengine wapo timu ya taifa
Wengi walioko katika shirikisho la soka hawana vision na huu mchezo, tunataka watu ambao watatuvusha kutoka hapa kwenda hatua nyingine nzuri zaidi
Ile sehemu wameunda kikundi chao cha kugombea kiasi kwamba hawataki baadhi ya watu washike zile nyazifa, tunataka maendeleo ya mpira na tutayapata kama tutakua na watu sahihi katika nafasi hizo
Najua kuna wengi wanamchukia huyu jamaa lakini hii haiondoi mazuri yote aliyofanya kwenye michezo hapa nchini,
Kama kweli tunataka kupiga hatua kwenye mchezo huu pendwa basi hatuna budi kuweka watu sahihi katika nafasi sahihi, mtu kama Ali Mayay anafaa sana kuongeza lile shirikisho inasikitisha waliopiga kura hawakuona umuhimu wake,
Simfahamu Shaffi hata kidogo lakini naona ni mtu ambaye ana ubunifu mkubwa kwenye soka, yule ni fursa na hatuna budi kuitumia
Katika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
Amekuahidi nini? Aliwahi kugombea uongozi TFF lakini alikuwa hana sifa ya uongoziNimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana na TFF pamoja wadau wengine kama Boniface Pawasa na wengineo
Mashindano yalishirikisha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu jijini Dar es salaam, hakika ulikua ubunifu wa hali ya juu sana, nami nina medali ya mshindi wa pili wa fainali ile ya kwanza ya beach soccer
Shaffi huyu huyu amebuni ndondo cup, zamani tulizoea kucheza mitaani lakini haikua na nguvu kubwa kama sasa, tumeona ndondo cup imeweza kuwatoa wachezaji kadhaa na wengine wapo timu ya taifa
Wengi walioko katika shirikisho la soka hawana vision na huu mchezo, tunataka watu ambao watatuvusha kutoka hapa kwenda hatua nyingine nzuri zaidi
Ile sehemu wameunda kikundi chao cha kugombea kiasi kwamba hawataki baadhi ya watu washike zile nyazifa, tunataka maendeleo ya mpira na tutayapata kama tutakua na watu sahihi katika nafasi hizo
Najua kuna wengi wanamchukia huyu jamaa lakini hii haiondoi mazuri yote aliyofanya kwenye michezo hapa nchini,
Kama kweli tunataka kupiga hatua kwenye mchezo huu pendwa basi hatuna budi kuweka watu sahihi katika nafasi sahihi, mtu kama Ali Mayay anafaa sana kuongeza lile shirikisho inasikitisha waliopiga kura hawakuona umuhimu wake,
Simfahamu Shaffi hata kidogo lakini naona ni mtu ambaye ana ubunifu mkubwa kwenye soka, yule ni fursa na hatuna budi kuitumia
Simjui kabisa, namuona tuu katika vyombo vya Habari....Amekuahidi nini? Aliwahi kugombea uongozi TFF lakini alikuwa hana sifa ya uongozi
Sidhani! Shaffih ni Kijana wa kisasa hana tabia za MalinziShida ni mhaya, atajaza wahaya tupu Tff
Aliwaambia ukweli kuwa wao ni underdog wakamchukia sana. Ukweli utabaki palepale Simba ni Wa mchangani Yanga ni wakimataifaKwanini hawampendi?
Aliwaambia ukweli kuwa wao ni underdog wakamchukia sana. Ukweli utabaki palepale Simba ni Wa mchangani Yanga ni wakimataifa
Uyu ni simba na ni mwanachama pia anaichukia simba coz kuna nafasi alibaniwagaKatika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
Mbona nasikia ni mnyama mnyamani?Katika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
Wanamjua akili mingi. Kila akigombea, tena anagombea ujumbe, wanampiga chini fasta. Iwe Simba au TFF hawataki kisikia jina lake.Nimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana na TFF pamoja wadau wengine kama Boniface Pawasa na wengineo
Mashindano yalishirikisha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu jijini Dar es salaam, hakika ulikua ubunifu wa hali ya juu sana, nami nina medali ya mshindi wa pili wa fainali ile ya kwanza ya beach soccer
Shaffi huyu huyu amebuni ndondo cup, zamani tulizoea kucheza mitaani lakini haikua na nguvu kubwa kama sasa, tumeona ndondo cup imeweza kuwatoa wachezaji kadhaa na wengine wapo timu ya taifa
Wengi walioko katika shirikisho la soka hawana vision na huu mchezo, tunataka watu ambao watatuvusha kutoka hapa kwenda hatua nyingine nzuri zaidi
Ile sehemu wameunda kikundi chao cha kugombea kiasi kwamba hawataki baadhi ya watu washike zile nyazifa, tunataka maendeleo ya mpira na tutayapata kama tutakua na watu sahihi katika nafasi hizo
Najua kuna wengi wanamchukia huyu jamaa lakini hii haiondoi mazuri yote aliyofanya kwenye michezo hapa nchini,
Kama kweli tunataka kupiga hatua kwenye mchezo huu pendwa basi hatuna budi kuweka watu sahihi katika nafasi sahihi, mtu kama Ali Mayay anafaa sana kuongeza lile shirikisho inasikitisha waliopiga kura hawakuona umuhimu wake,
Simfahamu Shaffi hata kidogo lakini naona ni mtu ambaye ana ubunifu mkubwa kwenye soka, yule ni fursa na hatuna budi kuitumia
Wanambania jamaa makusudi wanaona atawaharibia ulaji na pia wanaona atawafunika na kuwazidi kiutendaji.Wanamjua akili mingi. Kila akigombea, tena anagombea ujumbe, wanampiga chini fasta. Iwe Simba au TFF hawataki kisikia jina lake.
Labda Tanzania female federationNimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana na TFF pamoja wadau wengine kama Boniface Pawasa na wengineo
Mashindano yalishirikisha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu jijini Dar es salaam, hakika ulikua ubunifu wa hali ya juu sana, nami nina medali ya mshindi wa pili wa fainali ile ya kwanza ya beach soccer
Shaffi huyu huyu amebuni ndondo cup, zamani tulizoea kucheza mitaani lakini haikua na nguvu kubwa kama sasa, tumeona ndondo cup imeweza kuwatoa wachezaji kadhaa na wengine wapo timu ya taifa
Wengi walioko katika shirikisho la soka hawana vision na huu mchezo, tunataka watu ambao watatuvusha kutoka hapa kwenda hatua nyingine nzuri zaidi
Ile sehemu wameunda kikundi chao cha kugombea kiasi kwamba hawataki baadhi ya watu washike zile nyazifa, tunataka maendeleo ya mpira na tutayapata kama tutakua na watu sahihi katika nafasi hizo
Najua kuna wengi wanamchukia huyu jamaa lakini hii haiondoi mazuri yote aliyofanya kwenye michezo hapa nchini,
Kama kweli tunataka kupiga hatua kwenye mchezo huu pendwa basi hatuna budi kuweka watu sahihi katika nafasi sahihi, mtu kama Ali Mayay anafaa sana kuongeza lile shirikisho inasikitisha waliopiga kura hawakuona umuhimu wake,
Simfahamu Shaffi hata kidogo lakini naona ni mtu ambaye ana ubunifu mkubwa kwenye soka, yule ni fursa na hatuna budi kuitumia
Kuna mambo mengine ni ya ajabu sana, yaani badala ya kulalamika wafanyakazi wenzake unalalamika wewe uliyepo kishumundu hukoKumbe shaffih umekuja mpaka huku? By the way jamaa ni mroho wa madaraka tu, mpenda urasimu hata ndani ya clouds anataka aonekane yeye akifanya kila kitu kwenye kipindi cha sports extra, sioni haiba ya uongozi katika shaffih. Kapigie kampeni Instagram sio huku.