MJADALA: Uliza chochote kuhusu mchakato wa uagizaji garii nje ya nchi

MJADALA: Uliza chochote kuhusu mchakato wa uagizaji garii nje ya nchi

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
Mara kadhaa tumekua tukianzisha mada mbali mbali zenye lengo la kutoa elim dhumuni likiwa ni kupeana uelewa zaidi na kukumbushana mambo mbali mbali kuhusu uagizaji wa magari

Leo tungependa kusikia maswala tofauti tofauti kutoka kwenu wadau ili tuzidi kupeana uzoefu na elim zaidi.

Shukrani na karibuni sana

Mods naomba rekebisha kichwa kisomeke “MJADALA: Uliza chochote kuhusu mchakato wa uagizaji magari”
 
Back
Top Bottom