KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
Shukrani wka swali zuri boss. Hizi gari zipo za miaka kuanzia 1990s mpaka miaka ya 2000. Igekua vizuri ungeniambia ni ya mwaka gani unayohitaji. Ila halijaharibika kitu, nimekupigia hesabu hii ya mwaka 2001 ambayo ni kama mfano utakaosaidia kukupatia picha ya makadirio ya gharama kwa wastani. Hii link niliyoweka hapa chini ni gari ambayo nimeitolea mfano inayotaikana kutoka SBT. Gari hiyo manunuzi na usafiri ni dola 3950 sawa na Tsh 9,144,000, Ushuru wake ni Tsh 5,092,000 na gharama za bandari kama Wharfage, Port charges, Shipping Line na Agent Fee ni Tsh 1,000,000. Jumla kuu kwa gari hii niTsh 15,236,000Hivi Mercedes-Benz E220 Cabriolet W124 ina mchakato gani na gharama kiasi gani hadi ifike Bongo?
Ushuru wa hii gari ya 2008 ni Tsh 5,582,000, ya 2009 ni Tsh 4,847,000Vipi kuhusu ushuru wa Toyota rumion yenye CC 1490 ya mwaka 2008-09 Kwa upande wa TRA?