Mjadala: ungeondoka na kitu gan hapa kwa mfano

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kwa mfano sasa uko ndan ghafla bin vuu

Maaaara paaaa nyumba ndo inaanza kuteketea kwa moto wa kas ya ajabu utaondoka na kitu gan hapa kati ya vifuatavyo ili uweze kukiokoa


BILION OF MONEY

BABY WAKO YAAN KISU BALAA

BABA MZAZI

MAMA MZAZI

NYAMA YA KITIMOTO

BIBLIA TAKATIFU

QURUAN

MWANAO WA MIEZ MITATU


DAWA YAKO YA UTAJILI AMBAYO USHAAMBIWA NA MGANGA WAKO ISIJE UNGUA HATA KIDOGO


Taja kimoja wapo mkuu


LONDON BABY
 
Dawa yangu ya utajiri ntaiondoka nayo
 
Sasa kwanini uwe una amini ivyo vitabu bado uwe na dawa ya kwa mganga tena!!? Ebu tupunguze kimoja wapo ama dawa au kitabu

Tutabaki na miela mingi, baby mzuri,baba na mama wazazi, nyama ya kitmoto, mtoto, na quran.

Kwavile nina quran cwezi kuwa na nyam haram ya kitmoto kwangu, ondoa ktimoto apo. Vnabaki vngapi??

Ntabaki na mihela, baba na mama, baby mzur, quran na katoto kachanga. Hold on!, hawa wazazi wamekuja ntembelea au? Kama hapana basi watoe nao maana watakuwa kwao. Nabaki na nani apo akhaa!!, mihela mingi, baby mzur, quran na katoto kachanga.

Ujue din haineuhusu kukaa na baby mzur asiye mke embu mtoe na yeye, maana ujamtaja kam mke, ntabski na nini apo??, mihela, quran na katoto kachanga. Ila sasa ntakuaje na katoto bila mama yake?, embu nacho tukatoe apo

Ntabaki na nini? Mihela na quran cyo??, ila hyo mihela mingi ya nin niyaweke ndani?, mim mchagaa bhana yatakuwa nayazungusha kwenye biashara kule kariakoo, hapo ntabaki na nin tena? Quran? Haya huo moto ndio Paaah!! uanze kuwaka sasa [emoji53][emoji53]
 
Hahahahahaaaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Ulivyoweka Qur'an Na Bible umeharibu Uzi huo ni uchochezi Wa wazi!
 
Good!
 
Ikitokea ntajua la kufanya!! Kwa sasa ibaki hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…