Mjadala: Viongozi kutokuvaa barakoa,ni maelekezo ya Serikali?

Mjadala: Viongozi kutokuvaa barakoa,ni maelekezo ya Serikali?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Eun6bOjXAAgVBsS.jpeg
Euuu1K2XcAII2e7.jpeg
EuuzUDBXMAIrsnN.jpeg
Euu1_-rWYAE3gmT.jpeg

Picha zinajieleza.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma.

Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga mkono rais? Ni protokali?

Tujadili
 
Ni maelekezo ya jiwe kwa wateule wake.
Ndiyo maana ambao hawajavaa ni wateule wa jiwe tu.
 
Awamu hii kuna watu wamejitoa ufahamu kiasi cha kudhani wamerogwa! Yaani atakacho kisema mkuu wao, hata kama hakina mantiki! Watakiunga mkono kwa 100%!!
 
barakoa wanazo kwenye mikoba na mifukoni, wanazivua wakiwa mbele ya magufuri.
 
barakoa wanazo kwenye mikoba na mifukoni, wanazivua wakiwa mbele ya magufuri. angalia huyu kavua alipomsogelea nyonya damu
1613916726916.png
 
Back
Top Bottom