OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Cha ajabu wakiwa naye mbali wanavaa!!ni unafiki mkubwaaVaa ukione cha moto, yaani njaa ya tumbo inawafanya kutoa afya zao sadaka.
magu akivaa utashangaa nao wanaanza vaa
Naona hapo anachat na Mungu wa Kabudibarakoa wanazo kwenye mikoba na mifukoni, wanazivua wakiwa mbele ya magufuri. angalia huyu kavua alipomsogelea nyonya damu
View attachment 1708333
barakoa wanazo kwenye mikoba na mifukoni, wanazivua wakiwa mbele ya magufuri. angalia huyu kavua alipomsogelea nyonya damu
View attachment 1708333