Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
"Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru Ukraine!
Au wewe mdau mwenzangu wa forum hii unauonaje? Ni anguko au kitisho?!
Au wewe mdau mwenzangu wa forum hii unauonaje? Ni anguko au kitisho?!