Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Nikupa dola 50 sasa hivi utazikataa kuwa hazina maana ni kwishney?SWIFT code kwishney
Nipe tu in Tshs mwanawane au RupeeNikupa dola 50 sasa hivi utazikataa kuwa hazina maana ni kwishney?
Nipe swift code ya benki yako tuone kama ni kwishneyNipe tu in Tshs mwanawane au Rupee
Kwa hiyo kitu kama hiki kiliwahi kutokea huko nyuma rais akatumia mamlaka yake?Hiyo ni cheap politics ya Kevin, madai anayotaka hayana uhusiano na debt ceiling. Anatakiwa ayalete kwenye mjadala wa bajeti, lakini katika kutafuta cheap politics ndiyo anayal;et hapa ili aonekane ana nguvu hasa baada ya uchaguzi wake kuwa spika ukiwa ulijaa mazingaombwe mengi. Katiba ya Marekani inaweka wazi kuwa deni la serikali ya marekani siyo la kujadiliwa. Fourteenth Amendment, Section 4: " The validity of the public debt of the United States, authorized by law, including debts incurred for payment of pensions and bounties for services in suppressing insurrection or rebellion, shall not be questioned." Ikifika siku ya mwisho utakuta Rais anatumia kifungu hicho ku-raise debt-celing bila kumtegema Kevin.
Huyu Kevin ni spika wa hivyo sana. Mara ya kwanza alipitwa kwenye kiti cha uspika ingawa yeye ndiye aliyekuwa namba bili wakati huo, kikaenda kwa Paul Ryan aliyekuwa nyuma sana kwa sababu ya ujinga wake wa kutafuta cheap politics hata anapokuwa kwenye nafasi nyeti.
Kweli mataifa mengi yanadaiwa madeni makubwa kama sikosei Singapore anaongoza.Sarafu nyingi duniani zinazidi kupoteza thamani dhidi ya dola ya Marekani halafu jihadists wanaleta porojo, mataifa mengi duniani yanadaiwa madeni kibao ambazo zipo kwa dola ya Marekani na lazima walipe.
Hapana, (a) Haikuwahi kutokea huko nyuma kwa vile siasa za kijinga za kutaka kummkwamisha rais aliyeko madarakani wa chama kingine ambazo zimekuwa kali sana siku za hivi karibuni hazikuwapo wakati huo. (b) Maanguko ya mabenki hayana uhusiano wa karibu na siasa za Washington DC.Kwa hiyo kitu kama hiki kiliwahi kutokea huko nyuma rais akatumia mamlaka yake?
Na pia tunaona kuna benki kama tatu zimefilika ikiwemo silicon valley bank, je-hii sio kiashiria cha debt ceiling?
Kipengele a) hii haimaanishi marekani sasa wanapoteza mvuto wa siasa zao za kidemokrasia?Hapana, (a) Haikuwahi kutokea huko nyuma kwa vile siasa za kijinga za kutaka kummkwamisha rais aliyeko madarakani wa chama kingine ambazo zimekuwa kali sana siku za hivi karibuni hazikuwapo wakati huo. (b) Maanguko ya mabenki hayana uhusiano wa karibu na siasa za Washington DC.
UPOPOHapana, (a) Haikuwahi kutokea huko nyuma kwa vile siasa za kijinga za kutaka kummkwamisha rais aliyeko madarakani wa chama kingine ambazo zimekuwa kali sana siku za hivi karibuni hazikuwapo wakati huo. (b) Maanguko ya mabenki hayana uhusiano wa karibu na siasa za Washington DC.
Ataishia mitiniKweli mataifa mengi yanadaiwa madeni makubwa kama sikosei Singapore anaongoza.
Hao jihadists ni kina nani wanaoleta porojo?Na je, pia spika bw.Kevin naye ni miongoni mwao? Na vita vyombo vya habari kama vile bloomberg na forbes, tunaona wamesimamia mada hii kwa muda mrefu sasa, nao ni jihadists?
Au jihadists kwa maana gani?
mkuu, kwema?!
.mkuu, kwema?!
Itabidi tufunge ndoa na euro au pound
ni kweli, demokrasia huru ya kimarekani imeanza kutumiwa vibaya sana kiasi kuwa nchi changa zitaigopa na kurudi kwenye demokrasia ya mabavuKipengele a) hii haimaanishi marekani sasa wanapoteza mvuto wa siasa zao za kidemokrasia?
Kipengele b) hiki kiachwe pembeni
EU haoSWIFT code kwishney
So what? Do we need USA anymore?ni kweli, demokrasia huru ya kimarekani imeanza kutumiwa vibaya sana kiasi kuwa nchi changa zitaigopa na kurudi kwenye demokrasia ya mabavu
Kunywa maji yakutoshaSarafu nyingi duniani zinazidi kupoteza thamani dhidi ya dola ya Marekani halafu jihadists wanaleta porojo, mataifa mengi duniani yanadaiwa madeni kibao ambazo zipo kwa dola ya Marekani na lazima walipe.