Mjadala wa Diaspora Tanzania umefia wapi? Tunao kweli wanadiaspora Duniani au ukanjanja mwingi?

Mjadala wa Diaspora Tanzania umefia wapi? Tunao kweli wanadiaspora Duniani au ukanjanja mwingi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nawatafuta wanadiaspora watueleze kwanini hawana mchango chanya kwa nchi yao. Kwanini hawana vitu vyakuonekana vinavyoweza kusaidia kusukuma Agenda yao mbele ya wanasiasa na watoa maamuzi nchini?

Mhe. Rais ameonyesha nia njema yakusupport Movement zao lakini wao huko Duniani wamegawanyika kila mmoja na mtizamo wake. Wapo Chawa wanang'ata ila kwa style tofauti.

Mchakato wa katiba walifeli, uraia pacha wamefeli na sasa hadhi maalum pia serikali imeonyesha nia yakuwa saidia wameshindwa kujihelp nani alaumiwe?

Soma Pia: Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha
 
Back
Top Bottom