Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na wanaitaka Serikali kusitisha.

Jioneeni Comment hizo na mnaweza kwenda kusoma zaidi, katika hili Serikali ikae chini ijitafakari kwa kuwa zama za giza za kuwapeleka wananchi wanavyotaka zinazidi kuisha watu wanapata nuru.










 
Wakifikia muda wa kuchukua maoni ya walevi wasinisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…